Sababu za ACT kukubalika

Hivi ACT nini jamani?,mbona JF ndo kinasemewa sana?.Huku Arusha hakiko,kiko kinadharia zaidi,yaani JF,kuliko uhalisia.

Arusha ndo nini?, iyo arusha hata humu jf cjawahi ickia, au unataka kuipa umaarufu syendhi dhako pambafu mpxiiiii

Watoto bwana
 

Hata sijaelewa ulichoandika, umemaanisha nini?
 
Uzalendo,mikakati mizuri na uweledi wa viongozi,kiukweli Act inafanya vizuri sana
 

Kwa vile mkilala mnaota mmekubalika doesn't mean kiuhalisi mmekubalika. Ninyi ni matapeli msio na mwelekeo. Chama gani hiki kinachoshinda JF kujihadaa kuwa kinakubalika? Amin nawaambiwa, one day you are going to pay kwa mkakati wenu haramu wa kupunguza kura japo kiduchu za Wapinzani hapo mwakani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…