Sababu za ACT kukubalika

Chama cha wasaliti lazima kikubalike haraka. Maana kujiunga tu huko tayari ni ajira na watanzania kibao tunaishi chini ya dola moja.
Subiri kwenye kura ndio utaelewa vizuri kuwa unawanachama au wafuasi wasaliti kama wewe.
 
Hiki chama kila kikitajwa humu JF wanaopata shida ni Chadema hivi ni kwa nini, povu linawatoka ovyo.

kwa sababu ni tawi la ccm.na chadema tulishaapa hatubakizi hata salia lolote la ccm.hakuna cha povu wala nini dada yangu,hapa ni kazi tu ya ukombozi.
 

Sasa ndugu yangu hii namba unatafuta demu au?
 
Chema chajiuza, kibaya chajitembeza.

Tafakari!
 

alliance for ccm and traitors.ACT.period!
 
Bro,ungeeleweka kama ungeandika '' sababu za ACT kukubalika na baadhi ya watu katika baadhi ya wilaya za mkoa wa Kigoma'' kila mtu angekuelewa vizuri
 
Hivi ACT nini jamani?,mbona JF ndo kinasemewa sana?.Huku Arusha hakiko,kiko kinadharia zaidi,yaani JF,kuliko uhalisia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…