ACT
Ndio chama pekee kilichokubalika mapema tangu kipatiwe usajili wa muda. Hakuna mkono wa mtu, bali watanzania wameielewa ile misingi yetu kumi, na wanaamini ndio njia pekee ya kutufikisha katika maendeleo himilivu.
Uzalendo
Usawa
Uadilifu
Uwazi
Uwajibikaji
Demokrasia Rasilimali
Hifadhi ya jamii
Utu
Umoja wa Afrika
Kujitegemea, bidii na weledi katika kazi.
Njano5.
0784845394
ACt-Tanzania chama chenye sera inayomvutia kila mtu
Hiki chama kila kikitajwa humu JF wanaopata shida ni Chadema hivi ni kwa nini, povu linawatoka ovyo.
udini utakutokea masikioni,,,
CC .armiChama cha udugu hiki bana , eti sifa kuu ya kuwa kiongozi ni lazima uwe Uliwahi ama kufukuzwa au kuadhibiwa kwa MAKOSA ya usaliti Chadema ........kila mwanachama ni kiongozi , tena wanateuana kienyeji , ukibisha niambie kikao kilichomteua Shaban Mambo , aliyejiunga juzi kuwa Makamu Mwenyekiti wa Taifa wa ACT ......... KAMA bado ni Mbichi , nitajie mwanachama mmoja wa kawaida huko ACT ambae hana cheo ......
CC .armi
ACT
Ndio chama pekee kilichokubalika mapema tangu kipatiwe usajili wa muda. Hakuna mkono wa mtu, bali watanzania wameielewa ile misingi yetu kumi, na wanaamini ndio njia pekee ya kutufikisha katika maendeleo himilivu.
Uzalendo
Usawa
Uadilifu
Uwazi
Uwajibikaji
Demokrasia Rasilimali
Hifadhi ya jamii
Utu
Umoja wa Afrika
Kujitegemea, bidii na weledi katika kazi.
Njano5.
0784845394
Unaelewa nini kuhusu kukubalika? Uzalendo wa ACT ni upi?
ACT
Ndio chama pekee kilichokubalika mapema tangu kipatiwe usajili wa muda.
Hakuna mkono wa mtu, bali watanzania wameielewa ile misingi yetu kumi,
na wanaamini ndio njia pekee ya kutufikisha katika maendeleo himilivu.
Uzalendo
Usawa
Uadilifu
Uwazi
Uwajibikaji
Demokrasia Rasilimali
Hifadhi ya jamii
Utu
Umoja wa Afrika
Kujitegemea, bidii na weledi katika kazi.
Njano5.
0784845394