Sababu ya Walimu kutokugoma yafahamika!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sababu ya Walimu kutokugoma yafahamika!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Asango, Jun 22, 2012.

 1. Asango

  Asango JF-Expert Member

  #1
  Jun 22, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 234
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Habari wanaJF, Kwa utafiti niliofanya unaonyesha kuwa walimu wa ngazi tofauti kamwe hawawezi kugoma.Hii ni kutokana na waliowengi wanatumia vyeti visivyo vyao(vyakughushi) hususani wale walimu wa cheti na wengineo.Sababu hii inawafanya kuogopa kugoma kwn ikatokea serikali ikawasimamisha walimu na kuamuru usaili ufanyike upya ajira itakuwa imekwisha.Ndio maana siku zote mgomo ukipangwa waliowengi hawashiriki na kutokufanikiwa kwa mgomo.hvy basi msitegemee kuona mgomo kwa Walimu wetu.
   
 2. MotoYaMbongo

  MotoYaMbongo JF-Expert Member

  #2
  Jun 22, 2012
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 1,859
  Likes Received: 200
  Trophy Points: 160
  hasa wa Shule za Msingi.
   
 3. g

  gpluse JF-Expert Member

  #3
  Jun 22, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 393
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 80
  Nakubaliana na wewe kwa asilimia nyingi tu. Wengi wao waliingia katika kipindi cha UPE2, ni drs7 lakini waligushu vyeti na wanafanya kazi kama walimu wenye kidato cha 4. Mgomo wa walimu hautakuja kufanyika kamwe labda kama wale wa sekondari na vyuo watajitenga na kundi la walimu wa shule za msingi
   
 4. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #4
  Jun 22, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Kumbe ni hivyo? Mie huwa nawashangaa pamoja na hicho chama chao!!
   
 5. Asango

  Asango JF-Expert Member

  #5
  Jun 22, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 234
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  chama chao kipo kuvuna pesa zao tu,hamna kitu pale kaka
   
 6. m

  mwalimu maskini Senior Member

  #6
  Jun 23, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 169
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  la kughushi vyeti sina uhakika nalo lakini nikiletewa ushahidi siwezi kuzimia maana kwa nchii hii ya ccm hakuna lisilowezekana kila siku watu wanafoji uraia wa tanzania mchana kweupe sembuse cheti cha elimu? hilo la kujitenga na walimu wa shule za msingi sio suluhu.
  suluhu ya muda mfupi ni kuunda jumuia ya walimu kama ilivyo kwa madaktari.

  suluhisho la muda wa kati ni kuwatoa viongozi wa CWT kwani wengi wao ni walimu wa shule za msingi na hata walio na elimu zaidi ya hapo wengi wameunga unga tu lakini pia wengi ni vibaraka wa ccm kwa kupenda,kutojua au kwa kulazimishwa.

  suluhisho la kiufundi ni kuitoa ccm madarakani ikiwezekana kabla ya 2015.
  suluhisho la kimkakati ni kuunda bodi ya walimu mapema iwezekanavyo( sio zaidi 2015)
   
 7. m

  mwalimu maskini Senior Member

  #7
  Jun 23, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 169
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  la kughushi vyeti sina uhakika nalo lakini nikiletewa ushahidi siwezi kuzimia maana kwa nchii hii ya ccm hakuna lisilowezekana kila siku watu wanafoji urai wa tanzania sembuse cheti cha elimu? hilo la kujitenga na walimu wa shule za msingi sio suluhu.

  suluhu ya muda mfupi ni kuunda jumuia ya walimu kama ilivyo kwa madaktari.

  suluhisho la muda wa kati ni kuwatoa viongozi wa CWT kwani wengi wao ni walimu wa shule za msingi na hata walio na elimu zaidi ya hapo wengi wameunga unga tu lakini pia wengi ni vibaraka wa ccm kwa kupenda,kutojua au kwa kulazimishwa.

  suluhisho la kiufundi ni kuitoa ccm madarakani ikiwezekana kabla ya 2015.
  suluhisho la kimkakati ni kuunda bodi ya walimu mapema iwezekanavyo( sio zaidi 2015)
   
 8. UKI

  UKI JF-Expert Member

  #8
  Jun 23, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 699
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hilo ni kweli kabisa Mjomba wangu anatumia cheti cha dada yake huwezi amini kazini anaitwa jina la kike na mzigo anapiga kama kawa mjomba huyu alisoma form one tu akatimuliwa shule alimbaka mwalimu wake wa kike si unajua zamani wanafunzi walikuwa wanaenda shuleni wakubwa ila dada yake alimaliza shule form four jamaa akakitumia hicho cheti ni mwalimu na anakula hela ya ualimu kiulaini na bado kama miaka 10 tu astaafu apate mafao yake. simsifii ila nasikitika huu udhaifu wa hii serikali hata hilo hawawezi kulitambua? mfano mwalimu wa kiume unasikia anaitwa Ashura serikali inaona poa tu,
   
 9. d

  dada jane JF-Expert Member

  #9
  Jun 23, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jamani msilete majibu ya utafiti kwa kuhisi au mazoea. Kwa taarifa walimu wengi sasa hivi wa primary na magraduate. Hata wewe unaejidadafua hapa sasa hivi nimekufundisha uongo ukweli?
   
 10. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #10
  Jun 23, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,744
  Likes Received: 1,455
  Trophy Points: 280
  Heshima mkuu, you've been brutally honest and I take your classic example as a solid evidence against walimu. Walimu ni kundi kubwa la wautmishi wa serikali lakini pia ndio kundi dhaifu kuliko mengine. Hivyo wataendelea tu kunyonywa na kudhulumiwa mpaka basi.

  CDM ikiingia kunako nguvu, waanze usaili na uhakiki wa ajira zao upya. Ndio maana mara zote hawa walimu wamekuwa wakishirikiana na ccm kuiba kura kwenye chaguzi.
   
 11. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #11
  Jun 23, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Tatizo la kufoji vyeti ni tatizo la kitaifa,tusiwabebeshe walimu peke yao.Kila kada ina huu uozo.Kumbuka walimu wa UPE wamebaki sehemu ndogo sana ya walimu waliopo sasa.Kama wewe ni bingwa wa utafiti nakupa kazi hii fanya utafiti kwa kada nyingine ambazo watu wanajidai kuwa na vyeti vyenye ufaulu wa juu,then uje na matokeo ya utafiti wako hapo tuone uhalali wa vyeti vyao!Usisahau kuvipitia vyeti vyako pia.
   
 12. UKI

  UKI JF-Expert Member

  #12
  Jun 23, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 699
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  hapo kwenye red mkuu usiwakumbushe hao waalimu maana wakijua cdm ikiingia madarakani itafanya hivyo watashinikiza isiingie ili wasihakikiwe so we waache walalamike malalamiko yao mengine ila dawa yao iko karibu na kuambia tukienda kwa haki kabisa watumishi wengi waliopo serikalini majina yao sio na hii ni kwa sababu ya system mbovu iliyopo serikalini cheti kimoja kinatumiwa zaidi ya mmoja. angalau TCU wamejaribu kwenye udahili wa wanafunzi chuoni.
   
 13. mansakankanmusa

  mansakankanmusa JF-Expert Member

  #13
  Jun 23, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,090
  Likes Received: 602
  Trophy Points: 280
  hata wakukataa changes itakuja tu, wanakijiji ni wengi..M4D
   
 14. Nzowa Godat

  Nzowa Godat JF-Expert Member

  #14
  Jun 23, 2012
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 2,630
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Kwa hiyo hata sirikali inafahamu kwamba walimu wake wanatumia vyeti feki ndio maana haisikilizi madai yao, eti?! Kwa hiyo unataka kuuambia umma kwamba hii siri kali ni DHAIFU, si ndio?!
   
 15. k

  kamanda wa anga Member

  #15
  Jun 23, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kimsingi nahisi ni kupoteza mda kulijadili kundi la watu wasiojitambua! hawa watu ni hatari sana maana wengi pamoja na kuitwa walimu bado wamepitwa na wakati. wengi hawajui kwamba kugoma ni haki kikatiba ya mfanyakazi! watazame walimu wanavyovaa, wanavyokula, nyumba wanazoishi, hospitali wanazotibiwa, utawahurumia! ndio maana kwa kuwadharau, mzee wa udhaifu aliwaita mbayuwawayu! ni waoga mno na uwa siwahurumii maana sioni ni kwa nini failures alipwe mshahara mkubwa! let them suffer msiyaonee huruma acha vyalimu viteseke! ni hivyo hivyo vyalimu uwa vinasimamia kura na kuhakikisha ccm inashinda! kimsingi vyalimu sivipendi kwa ujinga wao!
   
 16. DullyJr

  DullyJr JF-Expert Member

  #16
  Jun 23, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,047
  Likes Received: 375
  Trophy Points: 180
  Sio wa primary tu,hata hao wa secondary hamna kitu wote failure
   
 17. Sir R

  Sir R JF-Expert Member

  #17
  Jun 23, 2012
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 2,177
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  pumbafu
   
 18. Sir R

  Sir R JF-Expert Member

  #18
  Jun 23, 2012
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 2,177
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Umelaaniwa lidaku.

  Waelimishe kwani wao walikuelimisha
   
 19. kinya

  kinya JF-Expert Member

  #19
  Jun 23, 2012
  Joined: Feb 20, 2009
  Messages: 483
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  dah mkuuu kama uwezo wako ndo umekufisha hapa yaani umeacha hoja ukachambua watu pole ila hakika si wewe ni mfumo dhaifu uliokujenga kulalamika bila kutoa suluhu
   
 20. m

  mkurugenz JF-Expert Member

  #20
  Jun 23, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 242
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  nakubalana na alisema walimu wengi hawajitambui wengi ni vile hizi kazi walipewa kama msaada hakuzisomea,au ndio waliofoji vyeti,walimu wengi tunasubiri kazi kazi za kitumwa kusimamia sensa,mitihani, kwenda kusahisha hapo wanasahau kabisa juu ya haki zao za msing.sijui hasa wale walimu wa uraia wanawafundisha nini wanafunzi wao juu ya kuzijua haki zao na kudai
   
Loading...