VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,135
- 17,802
Naweza kusema kuwa bado tu hawajamjua anataka nini, Rais anataka kiongozi mzarendo na aliyejikana kwa masrahi mapana ya taifa na si mtu anayewaza masrahi yake huku akijua yeye ni kiongozi wa umma
Kuwa kiongozi wa umma ni kujitoa kwa ajili ya wananchi na si kuwaza utakuwa umemiliki nini baada ya kustaafu au kumaliza muda wako wa uongozi.
Kuwa kiongozi si kupata fursa ya kukufanya uwe tajili baali uwe daraja la kuwavusha wananchi na taifa kwa ujumla kufikia malengo.
🤣🤣🤣🤣🤣 huyu atakuwa katokea kanda ya ziwa tu... asante baba kwa kuchukua nafasi ya Oni Sigala kumsahihisha huyu mtu maana daah kwenye L anaweka R na R anaweka LAisee nenda hata ngumbaru ukajifunze Kiswahili fasaha
Mzalendo na sio mzarendo.
Maslahi na sio masrahi.
Tajiri na sio tajili.
Unapojenga jengo kubwa la TRA kwenye makusanyo madogo ya kodi si maslahi ya eneo lako?Naweza kusema kuwa bado tu hawajamjua anataka nini, Rais anataka kiongozi mzarendo na aliyejikana kwa masrahi mapana ya taifa na si mtu anayewaza masrahi yake huku akijua yeye ni kiongozi wa umma
Kuwa kiongozi wa umma ni kujitoa kwa ajili ya wananchi na si kuwaza utakuwa umemiliki nini baada ya kustaafu au kumaliza muda wako wa uongozi.
Kuwa kiongozi si kupata fursa ya kukufanya uwe tajili baali uwe daraja la kuwavusha wananchi na taifa kwa ujumla kufikia malengo.
Walikuwa wanakusanya madeni aliyoyaacha JK... akaonekana anakusanya kodi haswa..... SASA MADENI YAMEISHA.... wakawakamua wafanya biashara, wakawa hawana namna zaidi ya kufunga BIASHARA.......Raisi alisema kuna watu anataka waishi kama MASHETANI.
..Sasa kuna namna nzuri ya kufanya wafanyabiashara waishi kama mashetani zaidi ya kuwatoza kodi kubwa na kuwapiga faini kikatili?
..Kwa maoni yangu Tra walikuwa wanatekeleza kauli ya Raisi. Ni bahati mbaya kwamba amekuja kuwageuka lakini for the last three years alikuwa akiwasifia.
Ni kweli... LEO UKIMTENGUA ULIYEMTEUA JANA, unachofanya ni kutuonyesha HOW MUCH jana ulikosea.... na watenguliwaji wanapozidi kuwa wengi, unatuonyesha umekosea mara ngapi na ukubwa makosa upoje....Tatizo haliko kwa wanaoteuliwa na kutanguliwa, bali anaye teua na kutangua.
Mzee tupatupa ulipoteaa kidogoo, nikajua nawe tayari ushakatwa mkia. TeheteheeeKila kiumbe hujitofautisha kwa sifa zake. Vipo vunavyofahamika na kujitanabaisha kwa kutaga mayai, kuzaa, kuruka, kutambaa, kutembea na kadhalika. Sifa hutofautisha.
Alipoingia madarakani Rais Magufuli, wananchi na wasaidizi/wateule wake walikuwa wakisubiri Rais ajitanabaishe. Sasa wameshamjua. Wanafuata kadiri atakavyo.
Wanamjua kuwa anapenda YEYE NA NI YEYE TU ABUNI JAMBO. Wao wanasubiri ubunifu wake. Wanamjua kuwa HACHELEWI KUKUGEUKA UKITHUBUTU KUBUNI AU KUAMUA. wasaidizi wanamngoja aseme wafanye nini.
Wasaidizi HAWAJUI KINACHOMFURAHISHA WALA KINACHOMKWAZA KATIKA UTEKELEZAJI WA MAJUKUMU YAO. Wanamsubiri atoe maelekezo. Wanamsubiri kila wakati aseme. Ndiyo maana makongamano hayaishi.
Wasaidizi wanamjua KUWA HASHINDWI GHAFLA NA TENA HADHARANI KUKUPANDISHA CHEO, KUKUTUMBUA/KUKUTEUA,KUKUSHUSHA AU HATA KUSEMA KWANINI AMEFANYA HIVYO. Daima wanasubiri muongozo.
Kutokana na hayo, wakubadilisha Ni YEYE. Aruhusu wasaidizi wake wabuni, waamue, waseme na watende bila kusubiri maelekezo. Wasaidizi wataenendelea kumsikiliza, kuandika maagizo na kuendelea na 'kawaida' iliyopo.
Dawa Ni kutoka kwa muundaji mwenyewe!
Mzee Tupatupa wa Lumumba(kwasasa Kilosa, Morogoro)
Urudi shule na wewe kwanza inaonekana kuna kipindi ulikimbia shule hasa kwenye kujifunza R na LNaweza kusema kuwa bado tu hawajamjua anataka nini, Rais anataka kiongozi mzarendo na aliyejikana kwa masrahi mapana ya taifa na si mtu anayewaza masrahi yake huku akijua yeye ni kiongozi wa umma
Kuwa kiongozi wa umma ni kujitoa kwa ajili ya wananchi na si kuwaza utakuwa umemiliki nini baada ya kustaafu au kumaliza muda wako wa uongozi.
Kuwa kiongozi si kupata fursa ya kukufanya uwe tajili baali uwe daraja la kuwavusha wananchi na taifa kwa ujumla kufikia malengo.
MKUU TUPATUPA MZEE WA EXPANSION JPINTS UPO KIMYAA SANA ULIPATWA NA NINI??Kila kiumbe hujitofautisha kwa sifa zake. Vipo vunavyofahamika na kujitanabaisha kwa kutaga mayai, kuzaa, kuruka, kutambaa, kutembea na kadhalika. Sifa hutofautisha.