Sababu ya Chadema kushitaki Mahakama Kuu!

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,584
Reaction score
27,838
Wengi wanafikiri kwamba sababu ya ukawa kwenda kufungua kesi Mahakama KUU ni kuhusu kile wanachokiita kulinda kura, lkn sababu hasa ni nyingine kabisa nayo ni hii, UKAWA chini ya fisadi Lowasa wamejipanga kwa vyovyote vile liwalo na liwe ni lazima wawe sehemu ya Serikali ijayo na haijalishi matokeo ya uchaguzi yatakuwaje, sasa ili kufanikisha hilo wamepanga kugomea matokeo ambayo ni dhahiri kabisa kwamba watashindwa hilo hata fisadi Lowasa analijua sasa ili waweze kufanikiwa kwenye hilo ni lazima waanzishe fujo ambazo zitalazimisha vyombo vyetu vya ulinzi na usalama kuingilia ili kutulinda raia wake dhidi ya ukawa!

Na hapo ndipo mchezo ulipo, sasa kwa kufanya hivyo ina maana kutakuwa na fujo jambo litakalopelekea mafisadi wa ukawa kukamatwa na vyombo vyetu vya usalama, sasa baada ya hili kutokea ukawa watakwenda kushitaki ICC kwamba wamenyimwa haki ndani ya TanZania kumbuka kwamba ICC inashugulikia kesi tu pale ambapo unaweza kuwa na ushahidi kwamba umekosa haki kwenye vyombo vya sheria nchini mwako, sasa ukawa watawezaje kutimiza hilo sharti?
Hapo ndipo hii kesi waliyofungua inapokuja kwani wanajua kwamba Mahakama KUU haiwezi kuitilia maanani na itaitupilia mbali, sasa hilo likitokea watakuwa wamepata sababu ya kwenda ICC!

Mengine yoote ni ngonjera tu na Uongo lkn mchezo woote uko hapo na ndiyo maana wameshikilia kulinda kura unawezaje kulinda kura ukiwa mita 200 ktk sehemu ya tukio?

Hivyo hiyo yote ni geresha tu wanataka watu wakeshe ili iwe rahisi kwao kumobilize maandamano kutoka kwenye vituo vya kupigia kura na hakuna lingie zaidi ya hilo!
 
ccm haitaamini jinsi inavyoenda kushindwa vibaya uchaguzi huu nafsi zote madiwani hadi Rais
 
Miaka yoote watu wanakaa mita mia kusitokee vurugu iweje leo na kwanini mnashupalia watu waende majumbani nini mnataka kufanya mbona mishipa ya shingo imewashupaaa hivyo hembu nitolee hata m bunge yeyote wa upinzani aliyepita bila misukosuko na uimara wa ulinzi wa kura? Mungu humuumbua mnafiki na ndiko mnapoelekea
 
Sababu ya ukawa kufungua kesi ni kuitaka mahakama itamke wazi kuwa sheria inamtaka mtu asimame umbali WA mita 200 kutoka kituoni nani haki kusimama baada ya umbali huo kwa amani, sasa atakae waondoa kwa nguvu huyo ndie atakuwa amekiuka sheria, halafu kila kitio kina watu 450 kwa maana hiyo baada ya ufunga kituo saa kumi shughuli ya kuhesabu haiwezi kuzidi masaa mawili kwa maana hiyo hadi kufika saa kumina mbili matokeo tayari na kutakuwa hakuna umuhimu WA watu kulala kituoni
 
Duniani kote mtenda haki haogopi mdai au mtetea haki hasa za kisheria. mwizi tu ndiye hupenda kupindisha sheria na haki ili atimize malengo yake.
sheria iko wazi ni nje ya mita 200 kusubiri matokeo kwa nayetaka, sasa ukiwafukuza utamtangazia nani na hata ukiyabandika nani atasoma ni busara tu na wala siyo kutafuta safe corridor ya kuiibia KURA. Chaguzi zote sheria hii hutumika bila shida.Vipi mwaka huu????? Au imefutwa na kama imefutwa ni lini?????
 
Wengi wanafikiri kwamba sababu ya ukawa kwenda kufungua kesi Mahakama KUU ni kuhusu kile wanachokiita kulinda kura, lkn sababu hasa ni nyingine kabisa nayo ni hii, UKAWA chini ya fisadi Lowasa wamejipanga kwa vyovyote vile liwalo na liwe ni lazima wawe sehemu ya Serikali ijayo na haijalishi matokeo ya uchaguzi yatakuwaje, sasa ili kufanikisha hilo wamepanga kugomea matokeo ambayo ni dhahiri kabisa kwamba watashindwa hilo hata fisadi Lowasa analijua sasa ili waweze kufanikiwa kwenye hilo ni lazima waanzishe fujo ambazo zitalazimisha vyombo vyetu vya ulinzi na usalama kuingilia ili kutulinda raia wake dhidi ya ukawa!

Na hapo ndipo mchezo ulipo, sasa kwa kufanya hivyo ina maana kutakuwa na fujo jambo litakalopelekea mafisadi wa ukawa kukamatwa na vyombo vyetu vya usalama, sasa baada ya hili kutokea ukawa watakwenda kushitaki ICC kwamba wamenyimwa haki ndani ya TanZania kumbuka kwamba ICC inashugulikia kesi tu pale ambapo unaweza kuwa na ushahidi kwamba umekosa haki kwenye vyombo vya sheria nchini mwako, sasa ukawa watawezaje kutimiza hilo sharti?
Hapo ndipo hii kesi waliyofungua inapokuja kwani wanajua kwamba Mahakama KUU haiwezi kuitilia maanani na itaitupilia mbali, sasa hilo likitokea watakuwa wamepata sababu ya kwenda ICC!

Mengine yoote ni ngonjera tu na Uongo lkn mchezo woote uko hapo na ndiyo maana wameshikilia kulinda kura unawezaje kulinda kura ukiwa mita 200 ktk sehemu ya tukio?

Hivyo hiyo yote ni geresha tu wanataka watu wakeshe ili iwe rahisi kwao kumobilize maandamano kutoka kwenye vituo vya kupigia kura na hakuna lingie zaidi ya hilo!

Hivi unalipwa shilingi ngapi kwa kuandika propaganda hapa JF??

Maana huna point kabisa unaimba taarabu tu. Siyo jukwaa lake hili, hatuimbi taarabu.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Wakakufunze tena maana kama ndo mtihani umepata 0/0.
Hivyo nivema ukae kimya
 
Huna adabu gamba ww tutalinda kura zetu
 
Wacha wakae tuwakate viuno,tunawasubiri mkae Kama nyinyi wanaume mnaoweza kushindana na serikali,tutawaonyesha kuwa mkono haushindani na ukuta,mbowe na akina rich lowassa watakuwa kwao wamepoa na wala hutawakuta vituoni,Kwa sababu wanajua raia hashindani na dola.
 
Wengi wanafikiri kwamba sababu ya ukawa kwenda kufungua kesi Mahakama KUU ni kuhusu kile wanachokiita kulinda kura, lkn sababu hasa ni nyingine kabisa nayo ni hii, UKAWA chini ya fisadi Lowasa wamejipanga kwa vyovyote vile liwalo na liwe ni lazima wawe sehemu ya Serikali ijayo na haijalishi matokeo ya uchaguzi yatakuwaje, sasa ili kufanikisha hilo wamepanga kugomea matokeo ambayo ni dhahiri kabisa kwamba watashindwa hilo hata fisadi Lowasa analijua sasa ili waweze kufanikiwa kwenye hilo ni lazima waanzishe fujo ambazo zitalazimisha vyombo vyetu vya ulinzi na usalama kuingilia ili kutulinda raia wake dhidi ya ukawa!

Na hapo ndipo mchezo ulipo, sasa kwa kufanya hivyo ina maana kutakuwa na fujo jambo litakalopelekea mafisadi wa ukawa kukamatwa na vyombo vyetu vya usalama, sasa baada ya hili kutokea ukawa watakwenda kushitaki ICC kwamba wamenyimwa haki ndani ya TanZania kumbuka kwamba ICC inashugulikia kesi tu pale ambapo unaweza kuwa na ushahidi kwamba umekosa haki kwenye vyombo vya sheria nchini mwako, sasa ukawa watawezaje kutimiza hilo sharti?
Hapo ndipo hii kesi waliyofungua inapokuja kwani wanajua kwamba Mahakama KUU haiwezi kuitilia maanani na itaitupilia mbali, sasa hilo likitokea watakuwa wamepata sababu ya kwenda ICC!

Mengine yoote ni ngonjera tu na Uongo lkn mchezo woote uko hapo na ndiyo maana wameshikilia kulinda kura unawezaje kulinda kura ukiwa mita 200 ktk sehemu ya tukio?

Hivyo hiyo yote ni geresha tu wanataka watu wakeshe ili iwe rahisi kwao kumobilize maandamano kutoka kwenye vituo vya kupigia kura na hakuna lingie zaidi ya hilo!

Haki huinua Taifa bali dhambi ni aibu kwa watu wote.Wizi wa kura utajenga serikali legelege hivyo kuidhalilisha Nchi kimataifa.Post zako zote ni kutakia mabaya kwa UKAWA,Sijui wewe kama kweli ni mtanzania.
 
Wengi wanafikiri kwamba sababu ya ukawa kwenda kufungua kesi Mahakama KUU ni kuhusu kile wanachokiita kulinda kura, lkn sababu hasa ni nyingine kabisa nayo ni hii, UKAWA chini ya fisadi Lowasa wamejipanga kwa vyovyote vile liwalo na liwe ni lazima wawe sehemu ya Serikali ijayo na haijalishi matokeo ya uchaguzi yatakuwaje, sasa ili kufanikisha hilo wamepanga kugomea matokeo ambayo ni dhahiri kabisa kwamba watashindwa hilo hata fisadi Lowasa analijua sasa ili waweze kufanikiwa kwenye hilo ni lazima waanzishe fujo ambazo zitalazimisha vyombo vyetu vya ulinzi na usalama kuingilia ili kutulinda raia wake dhidi ya ukawa!

Na hapo ndipo mchezo ulipo, sasa kwa kufanya hivyo ina maana kutakuwa na fujo jambo litakalopelekea mafisadi wa ukawa kukamatwa na vyombo vyetu vya usalama, sasa baada ya hili kutokea ukawa watakwenda kushitaki ICC kwamba wamenyimwa haki ndani ya TanZania kumbuka kwamba ICC inashugulikia kesi tu pale ambapo unaweza kuwa na ushahidi kwamba umekosa haki kwenye vyombo vya sheria nchini mwako, sasa ukawa watawezaje kutimiza hilo sharti?
Hapo ndipo hii kesi waliyofungua inapokuja kwani wanajua kwamba Mahakama KUU haiwezi kuitilia maanani na itaitupilia mbali, sasa hilo likitokea watakuwa wamepata sababu ya kwenda ICC!

Mengine yoote ni ngonjera tu na Uongo lkn mchezo woote uko hapo na ndiyo maana wameshikilia kulinda kura unawezaje kulinda kura ukiwa mita 200 ktk sehemu ya tukio?

Hivyo hiyo yote ni geresha tu wanataka watu wakeshe ili iwe rahisi kwao kumobilize maandamano kutoka kwenye vituo vya kupigia kura na hakuna lingie zaidi ya hilo!

Wewe Dada unachekesha sana! Bila shaka utakuwa mke mwenza wa janeth magufuli
 
Huna adabu gamba ww tutalinda kura zetu

ni jambo la kusikitisha kuona watz tumekubali kuwa chambo kwa samaki tusiyemjua . tangu kuanza kwa mchakato wa kupiga kura ni malumbano, kutokukubaliana na matusi kibao. hivi kama watu hawauamini nec kwa nini walikubali kuchukua fomu na kusaini makubaliano na chombo kisichoaminika? hivi kila mtz akiamua kukaa mita 200 toka kwenye kituo kwa lengo la kulinda kura patatosha? huo hautakuwa mkusanyiko usiokuwa halali? wagonjwa,wazee na watoto watalindwa na nani huko majumbani? tz ni yetu sote na hakuna asiyependa mabadiliko yenye tija. huku tunakoelekea ni kujitoa ufahamu. hebu tumtangulize mungu mbele atulindie hizo kura kwani yeye ni mweza wa yote. ASIPOILINDA NYUMBA WAILINDAO WAKESHA BURE.
 
Mkuu Tatizo hawa jamaa wana roho ya wizi sana hawamwogopi Mungu kwa hiyo lazima tulinde kura zetu
 
Hivi unalipwa shilingi ngapi kwa kuandika propaganda hapa JF??

Maana huna point kabisa unaimba taarabu tu. Siyo jukwaa lake hili, hatuimbi taarabu.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
Na itakuuma kweli mwaka huu, mchana kweupe pombe akiapishwa
 
post mbayaa..haina maana. uandishi wa kupanik ulojaa uoga na masikitiko kuona mnashindwa na tumestuka mbinu zenu chafu.
 
Back
Top Bottom