Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,838
Wengi wanafikiri kwamba sababu ya ukawa kwenda kufungua kesi Mahakama KUU ni kuhusu kile wanachokiita kulinda kura, lkn sababu hasa ni nyingine kabisa nayo ni hii, UKAWA chini ya fisadi Lowasa wamejipanga kwa vyovyote vile liwalo na liwe ni lazima wawe sehemu ya Serikali ijayo na haijalishi matokeo ya uchaguzi yatakuwaje, sasa ili kufanikisha hilo wamepanga kugomea matokeo ambayo ni dhahiri kabisa kwamba watashindwa hilo hata fisadi Lowasa analijua sasa ili waweze kufanikiwa kwenye hilo ni lazima waanzishe fujo ambazo zitalazimisha vyombo vyetu vya ulinzi na usalama kuingilia ili kutulinda raia wake dhidi ya ukawa!
Na hapo ndipo mchezo ulipo, sasa kwa kufanya hivyo ina maana kutakuwa na fujo jambo litakalopelekea mafisadi wa ukawa kukamatwa na vyombo vyetu vya usalama, sasa baada ya hili kutokea ukawa watakwenda kushitaki ICC kwamba wamenyimwa haki ndani ya TanZania kumbuka kwamba ICC inashugulikia kesi tu pale ambapo unaweza kuwa na ushahidi kwamba umekosa haki kwenye vyombo vya sheria nchini mwako, sasa ukawa watawezaje kutimiza hilo sharti?
Hapo ndipo hii kesi waliyofungua inapokuja kwani wanajua kwamba Mahakama KUU haiwezi kuitilia maanani na itaitupilia mbali, sasa hilo likitokea watakuwa wamepata sababu ya kwenda ICC!
Mengine yoote ni ngonjera tu na Uongo lkn mchezo woote uko hapo na ndiyo maana wameshikilia kulinda kura unawezaje kulinda kura ukiwa mita 200 ktk sehemu ya tukio?
Hivyo hiyo yote ni geresha tu wanataka watu wakeshe ili iwe rahisi kwao kumobilize maandamano kutoka kwenye vituo vya kupigia kura na hakuna lingie zaidi ya hilo!