Sababu ya Bunge kutokuwa mubashara

Sababu ya Bunge kutokuwa mubashara

Koryo2

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2016
Posts
2,056
Reaction score
2,523
Wananchi muda mrefu tunadai Bunge liwe mubashara lakini bado wametia ngumu. Sisi wananchi ndiyo tuliwaweka madarakani lakini tukiwaeleza Bunge liwe mubashara mnatuona kuwa hatuna maana. Tatizo la 1.5 tr Bunge lingekuwa mubashara haya yote yasingetokea. Serikali jitahidini kutuamini mko hapo kwa sababu yetu sisi wananchi.
 
Kama kuna mTz bado ana amani na serikali ya ccm nampa pole. Lengo la hao jamaa ni kutowapa wapinzani jukwaa rasmi la kuwa chalange!! Kwamba wananchi wasiwasikie by all cost
 
bunge lilishatolewa meno muda mwingi uliopita. kwa sasa mabosi wake wanaripoti magogoni...
 
Bunge/Mahakama, taasisi mbili aminifu na tiifu kwa serikali. Watz tutasubiri saana tu.
 
Wananchi muda mrefu tunadai Bunge liwe mubashara lakini bado wametia ngumu. Sisi wananchi ndiyo tuliwaweka madarakani lakini tukiwaeleza Bunge liwe mubashara mnatuona kuwa hatuna maana. Tatizo la 1.5 tr Bunge lingekuwa mubashara haya yote yasingetokea. Serikali jitahidini kutuamini mko hapo kwa sababu yetu sisi wananchi.
Bunge kuwa live lingezuiaje hilo tatizo la 1.5t? Chapa kazi mkuu usililie bunge kuonyeshwa live
 
Kweli achape kazi km 2yrs = 1.5 trillion hivyo tunafanya 10yrs ÷2 =5×1.5 trillion= ??????
 
Kuna vitu hii nchi mpaka unatamani kuhama kwa mda, sema pa kwenda na nauli tu
 
Hakuna anayependa kuvuliwa nguo na kuachwa uchi. Aliona mbali.
 
Wenzako tumeshazila na kuongea.......acha wale wakishiba watulie....waishi...wafe....wafukiwe huko
 
Back
Top Bottom