Sababu tisa za mwanaume kumtongoza mwanamke

Sababu tisa za mwanaume kumtongoza mwanamke

safi sana, maana wanasemaga Tabasam inaambukiza......
[emoji5][emoji4][emoji5][emoji4]
basi hapo umeniambukiza kitu kizuri sana
Maana nlikuwa sjatabasam leo
Thanks

[emoji4] [emoji4]
 
We jamaa muongo hakizo 9
Kwa hiyo sijazisoma hizo nane zoote mpaka uweke ya 9
Na hii ndiyo shida kubwa sana kwa watu wengi duniani
1. Kaweka sababu nane, eti hutasoma bila kuwepo ya tisa... UTADHANI YA TISA UNAIJUA NA KWAMBA NDO KIUNGO KIUNGANISHI..!!!

2. Utadhani sababu ya tisa ndo inakusanya summary ya sababu zote nane.. Kwamba ukiisoma hiyo hutakuwa na sababu ya kusoma zingine...

3. Utadhani angeweka ya tisa pekee, basi ingetosha..!!!
 
Back
Top Bottom