Sababu tano(5) kwanini unapata pesa lakini huna maendeleo

Sababu tano(5) kwanini unapata pesa lakini huna maendeleo

Ukweli mtupu ndio umeuongea humu,,lkn umengusa sana kwenye swala la kutoa msaada, kaka co siri mimi nasaidia sana japo kutoa ni moyo lkn nazan kdg linanirudisha nyuma, lkn unakuta inayebd umsaidie ni mtu wa karbu sanaa, na sio mmoja au wawili,,sasa kwa mtazamo wako, ni ipi kauli sahihi ya kumsaidia mtu kama umesema kusaidia inasaidia mtu
 
Mara zote we huwa unacoment wa kwanza sasa nafasi yako itachukuliwa na nan?......#TAG# Joverest....##.
 
Kabisa mkuu...elimu nzuri sana hii kwa aliyeielewa
huyo uliemueleza hapo ni mimi kbs yani.....hata ukiongeza pointi nyingine nadhani inaeza kunihusu nayo.duh!nafanyia kazi hilo nimechoka sasa.
 
kaka umeongea

ukweli mtupu ndio umeuongea humu,,lkn umengusa sana kwenye swala la kutoa msaada,kk co siri mimi nasaidia sana japo kutoa ni moyo lkn nazan kdg linanirudisha nyuma,lkn unakuta inayebd umsaidie ni mtu wa karbu sanaa,na sio mmoja au wawili,,sasa kwa mtazamo wako,ni ipi kauli sahihi ya kumsaidia mtu kama umesema kusaidia inasaidia mtu
Ni vyema ukaweka tu wazi kuwa ee..napenda kuwasaidia ila kutokana na sababu 1 2 3 mambo yangu ya uchumi hayajakaa sawa, kwa maana huwa inakutokea wanakutegemea mno..Jaribu tu kuwa mkweli kuliko kutoa msaada halafu wewe binafsi huna hata akiba binafsi
 
huyo uliemueleza hapo ni mimi kbs yani.....hata ukiongeza pointi nyingine nadhani inaeza kunihusu nayo.duh!nafanyia kazi hilo nimechoka sasa.
Pamoja sana nashukuru kwa kuwa umepata chochote kitu cha kujifunza hapa..Mungu akubariki mkuu
 
Hii inafaa pia wanaojiita wapinzani, wakosoaji, wadaku, wapiga kelele etc humwu na wasio wa humwu... ndani yake na yule ambaye akisema hata uongo wa kutunga mara nyingi, ili aonekana ana akili kumbe 😱 na kujiandikia kujijibu pia na wengi wanakubali... eeeeeh
 
Sawa nimekuelewa hahaha uongo wa kutunga[emoji134][emoji134]
 
Jose big up nimeupenda uzi wako kinomanoma umelenga kunako, pia umenikumbusha ule msemo wa wazungu "Pay yourself first".
 
Back
Top Bottom