Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,332
- 72,654
- Thread starter
- #61
Ahaaa uko sahihi mkuu, lakini unaweza kuchukua kama angalizo..Ni mawazo na ushauri mzuri ila not applicable.
Nature ya familia zetu (extended families) na kipato kisichokua cha uhakika au kutosha (kigao kidogo cha shirika) ni ngumu sana kuset malengo badala yake wengi wetu tunaishi kwa dead lines ktk kushughulikia mambo.
Upo mjini alone au ukoo mzima we ndo mjanja na tajiri kisa unalipwa laki 5 na una bodaboda 2 za mkopo.
Natambua kuwa kuhudumia family ni majukumu mazito kwa hiyo usihofu