Sababu kwanini mikutano ya CCM imejaa watu nyomi

Sababu kwanini mikutano ya CCM imejaa watu nyomi

Subira the princess

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2018
Posts
4,465
Reaction score
4,613
Wasalaam.
CCM wakiamua jambo lao hufanya kila linalowezekana ili kulifanikisha

Siri ya nyomi la CCM kila mkoa ni kwamba wanasafiri na watu wao kwenye jumla ya mabasi 20 na kisha wakifika mkoa husika huwapata watu wenye dhiki kali na njaa na muwapa buku 5 kila mmoja na kuwasafirisha kwa maroli mpaka sehemu husika.


Angalia hapo chini.
:

 

Attachments

  • e2a708522507e5f090cd95df967a065a_1757082721235.mp4
    1 MB
Back
Top Bottom