MTV MBONGO
JF-Expert Member
- Feb 18, 2016
- 1,275
- 1,240
Kiroho tunapaswa kusali kwa Muumba wetu na kutenda yale yanayopaswa kadiri ya imani zetu, nchi ambazo dini zinapuuzwa sana ndiko kuliko na vifo vingi vya kujinyonga kwani watu hao hawakuwa na dini hivyo jambo zito likiwapata wanashindwa kuliweka mbele ya imani kwa Mungu mweza yote.Angalia Ulaya wanaojinyonga ni wengi hata hapa Bongo wanaojinyonga wengi ni kwasababu hawana dini au hawaishi kadiri ya matakwa ya dini zao.
KUMBE SABABU KUU NA YA MSINGI YA WATU KUJINYONGA ni kushindwa kutatua matatizo yanayozidi uwezo wao wa kibinadamu kwasababu kiroho wako dhaifu. Wengi wasio na dini au wanaopuuza mambo ya dini wapo katika hatari hii.