Sababu kuu 7 za kwanini kila mwanaume anahitaji mwanamke sahihi

Ni somo zuri sana mkuu binafsi nimelielewa!!! Naongezea...Mwanamke mzuri ni bora ni yule atakayekulindia siri zako za ndani...

Ni yule ambaye atakunyanyua kipindi umeanguka huku ukiwa unachekwa na kudharauliwa, yeye atakuwa pamoja nawe katika tabu zote..

Ni yule ambaye huelewa maisha ni kupanda na kushuka.

Ni yule ambaye anayajua mapungufu yako na ni muelewa wa ule usemi wa Hakuna binadamu aliyekamilika
Kweli kabisa maana hili swala ndo huwa na ugum xn kwa wapenzi ndo kipimo cha mtu sahihi ktk Maisha yko
 
Back
Top Bottom