Sababu kubwa ya wanawake kuzeeka haraka

Sababu kubwa ya wanawake kuzeeka haraka

Uzuri mada umeileta mwenyewe mdada maana wangeanza hapa km ingeletwa na mkaka
Ungesikia eti mkaka wa darisalama
 
Hata make up zinazeesha sema watu hawapend kukubali ukweli. Hata ukijiingiza ktk masuala ya mapenz mapema leo upo kwa huyu kesho kwa mwngine unachakaa. Uzinzi unachakaza tena sana.
 
Natumaini mnaendelea vizuri na ujenzi wa Taifa.

Kumekuwa na sababu lukuki zisemwazo kuwa chanzo cha wanawake kuchoka/kuzeeka haraka, kama vile kuzaa sana, tutojipenda/kujijali, kuanza mahusiano ya kimapenzi katika umri mdogo, unywaji sana wa ulabu/mnazi e.t.c

Lakini mimi naona zote hizo cha mtoto, funga kazi ni hii niliyoiona mimi ambayo huenda ndio inatufanya tuonekane vibibi kabla ya muda.

Hasira + vinyongo + chuki + ubinafsi + kutopenda maendeleo ya wengine ndivyo vinavyotufanya sura zitushuke mapema.

Nawasilisha
Msinichambe jameni khaaaaaaaa

Kinachofanya Wanawake Kuzeeka Haraka Ni Mambo Mawili Tu.
1. Kuzaa Sana.
2. Kuweka Mambo Moyoni.
(Kutojua Kusamehe?

Yani mi nakubaliana na mtoa mada hapo juu ni kweli kabisaa
mimi sina kinyongo na mtu nachopata nashukuru nina umri mkubwa
ila ukiniona utasema msichana ni hayo tu.
 
Hayo ni magonjwa kama magonjwa mengine,sema watu wanayachukulia powa.
 
Natumaini mnaendelea vizuri na ujenzi wa Taifa.

Kumekuwa na sababu lukuki zisemwazo kuwa chanzo cha wanawake kuchoka/kuzeeka haraka, kama vile kuzaa sana, tutojipenda/kujijali, kuanza mahusiano ya kimapenzi katika umri mdogo, unywaji sana wa ulabu/mnazi e.t.c

Lakini mimi naona zote hizo cha mtoto, funga kazi ni hii niliyoiona mimi ambayo huenda ndio inatufanya tuonekane vibibi kabla ya muda.

Hasira + vinyongo + chuki + ubinafsi + kutopenda maendeleo ya wengine ndivyo vinavyotufanya sura zitushuke mapema.

Nawasilisha
Msinichambe jameni khaaaaaaaa
Wanawake wanazeeka haraka, lakini wanaume ndio wanakufa haraka. Bora ni enjoy, tetetetetete, maisha mafupi ni simple!
 
Natumaini mnaendelea vizuri na ujenzi wa Taifa.

Kumekuwa na sababu lukuki zisemwazo kuwa chanzo cha wanawake kuchoka/kuzeeka haraka, kama vile kuzaa sana, tutojipenda/kujijali, kuanza mahusiano ya kimapenzi katika umri mdogo, unywaji sana wa ulabu/mnazi e.t.c

Lakini mimi naona zote hizo cha mtoto, funga kazi ni hii niliyoiona mimi ambayo huenda ndio inatufanya tuonekane vibibi kabla ya muda.

Hasira + vinyongo + chuki + ubinafsi + kutopenda maendeleo ya wengine ndivyo vinavyotufanya sura zitushuke mapema.

Nawasilisha
Msinichambe jameni khaaaaaaaa
Kwakwel vinyongo na ubinafsi vitawazeesha
 
kuchangana machine
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom