Urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ni kitu ambacho Mhe. Edward Ngoyai Lowassa anakitamani kuliko kitu kingine katika maisha yake! Lakini ukweli mchungu ( a bitter truth) ni kuwa pamoja na Edward Lowassa kuwa mwanamikakati mzuri (good strategist) ana nafasi finyu mno ya kuweza kuwa Rais wa JMT!
Kwa maneno mengine unaweza kusema, pamoja na Raila Amollo Odinga kuwa na nafasi finyu sana ya kuwa Rais wa Kenya dhidi ya Rais Uhuru Muigai Kenyatta wa Kenya lakini ana uafadhali kuliko Mhe.Edward Ngoyai Lowassa kuwa Rais wa JMT dhidi ya Rais John Pombe Magufuli!
Wengi wamekuwa wakim-evaluate Mhe.Edward Ngoyai Lowassa kama mtu ambaye hana maadili kwa namna alivyo-"rip" resources ambapo kwa mtazamo wangu hatofautiani sana na Wanasiasa wengi tulionao hapa Nchini ambao nao ni "wapigaji" lakini mwenzao akipiga "deal" kubwa kuliko wao huumia sana!
Kama unabisha angalia viongozi tulio nao leo wanaojifanya wanauchungu sana dhidi ya "wapigaji" kama wao hawakupiga chochote huko nyuma! Udhaifu mkubwa wa Mhe.Edward Ngoyai Lowassa ni kuwa si Mwanasiasa mzuri katika kuzungumza na ku -articulate mambo! (He is a poor Orator). Katika siasa za Ushindani hasa za kileo kuzungumza kwa ufasaha na vizuri (eloquency) si tu ni muhimu bali ni lazima kwa Mwanasiasa mwenye malengo makubwa!
Ukifuatilia kampeni za Mhe.Edward Ngoyai Lowassa katika Urais uliopita utagundua kuwa laiti angekuwa "Good Orator" asingeshindwa kuongeza kura milioni 2.99 katika zile kura milioni 6 alizopata!
Mhe.Edward Ngoyai Lowassa alikuwa na speeches zenye kuchukuwa wastani wa dk5 na muda wote maudhui ya hizo speeches ni kuhusu Mama Ntilie na Bodaboda! Mhe.Edward Ngoyai Lowassa alisahau kabisa kama Nchi hii kuna watu wengine zaidi ya Mama Ntilie na Bodaboda ! Alisahau kabisa masuala ya Wakulima na Wafanyakazi na kweli akapata kura nyingi za "masela" ,(Very poor Orator indeed !)
CHADEMA acheni kupoteza muda kwa Mhe.Edward Ngoyai Lowassa, tafuteni mtu smart mum-groom for 2020,najua wengi mtanipinga lakini ukweli utabaki kuwa Nzi wengi hukusanyika kwenye mavi!