Sababu hasa za Simba kuingia Bungeni ni zipi ?

Hata wewe unaweza kuomba na ukakubaliwa kwenda
 
Bunge la sasa halina mvuto na wananchi hawana muda nalo hivyo wamefanya hivyo ili kuli stimulate tu hakuna sababu nyingine zaidi ya hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…