Sababu ambazo zinapelekea mahusiano mengi kivunjika

Mwl Mwakujonga

JF-Expert Member
Jun 29, 2023
286
582
A. Kutokusamehe
B. Kuwa na Matarajio yasiyo halisi
C. Kutokuchukuliana madhahifu
D. Kutokujua wajibu wako katika mahusiano
E. Kipato

Jambo la kwanza

Kutokusamehe
Kwakweli kuna kitu ambacho waganajiuliza inakuaje wanandoa wemeachana miaka 10 au 20 lakini ukikaa nao utaskia mmoja anasema mabaya ya mwenzake? Watu wengi kwenye ndoa kama kitu kinaweza kujenga au kuharibu mahusiano ni kuto kusamehana

Unaweza kushanga MTU Yuko tayari kupatana na marafiki zake ambao wamekosana lakini hawezi kupata na mweza wake Ambao wako kitanda kimoja?

Kuna watu kwa sababu labda ni aina ya maisha tuliyokuwa nayo au malezi tuliyopokea au Mila na desturi za makabila yetu unaona kwamba kitendo cha kuomba msamaha au kumsamehe mwenzako ni kitendo cha kujishusha Kwa hiyo unaendeleza bifu na mwenzako unatafuta mbabe

Kwenye Maisha ya dunia hii Jenga tabia ya kushinda kwenye mashindano lakini kuwa MTU wa kushinda vita , you can losing the battle but winning the war

Ukimjua mwenzako ni MTU wa kushinda vita kuwa MTU wa kushinda mashindano na Maisha yanabadilika ila kila mmoja katika mahusiano akiwa ni MTU wa kushinda mashindano ujue kuna shida mahali

Neno msamaha ni dogo kulisema Ila Lina maana kubwa Sana , ukiwa MTU wa kusamehe utatengeneza mazingira mazuri pia kwenye mahusiano yako ya jayo

Kwanini watu wanatoka mahusiano moja kwenda mengine na pia uko mahusiano yanavunjika pia kama hapo mwanzo?.

Unaweza kutoka mahusiano kwenda mahusiano Ila kutoka kwenye kifungo cha kutokusamehe kutakutengenezea mahusiano yako huko mbele yatakuwaje?

Kuna magonjwa mengine tunakuwa nayo Kwa sababu hatukuwa samehe wenzetu, Jenga tabia ya kusamehe , ukiwa MTU wa kutokusamehe pia ujue kuna mahali watu watakukimbia

Kuna watu ukikaa nao Kwa sababu ndani Yao hakuna kusamehe mioyo Yao inakuwa na majeraha mwisho wa siku wanashinda kuwa na mahusiano mazuri sio Tu na wenzi wao Ila pamoja na watumishi wenzao
 
Sawa mkuu mwakujonga,hapo kwenye kivunjika(kuvunjika)
 
Aya ya nne mstari wa kwanza, hukuwa na haja ya kuandika MTU lakini mtu ingetosha sisi kukuelewa.
Asante kwa fundisho
 
Mkuu ongea vyoote ila ikiwa mmoja kati ta wanandoa atasahau wajibu wake kama mke /mume
Hapo hakuna ndoa!
 
A. Kutokusamehe
B. Kuwa na Matarajio yasiyo halisi
C. Kutokuchukuliana madhahifu
D. Kutokujua wajibu wako katika mahusiano
E. Kipato

Jambo la kwanza

Kutokusamehe
Kwakweli kuna kitu ambacho waganajiuliza inakuaje wanandoa wemeachana miaka 10 au 20 lakini ukikaa nao utaskia mmoja anasema mabaya ya mwenzake? Watu wengi kwenye ndoa kama kitu kinaweza kujenga au kuharibu mahusiano ni kuto kusamehana

Unaweza kushanga MTU Yuko tayari kupatana na marafiki zake ambao wamekosana lakini hawezi kupata na mweza wake Ambao wako kitanda kimoja?

Kuna watu kwa sababu labda ni aina ya maisha tuliyokuwa nayo au malezi tuliyopokea au Mila na desturi za makabila yetu unaona kwamba kitendo cha kuomba msamaha au kumsamehe mwenzako ni kitendo cha kujishusha Kwa hiyo unaendeleza bifu na mwenzako unatafuta mbabe

Kwenye Maisha ya dunia hii Jenga tabia ya kushinda kwenye mashindano lakini kuwa MTU wa kushinda vita , you can losing the battle but winning the war

Ukimjua mwenzako ni MTU wa kushinda vita kuwa MTU wa kushinda mashindano na Maisha yanabadilika ila kila mmoja katika mahusiano akiwa ni MTU wa kushinda mashindano ujue kuna shida mahali

Neno msamaha ni dogo kulisema Ila Lina maana kubwa Sana , ukiwa MTU wa kusamehe utatengeneza mazingira mazuri pia kwenye mahusiano yako ya jayo

Kwanini watu wanatoka mahusiano moja kwenda mengine na pia uko mahusiano yanavunjika pia kama hapo mwanzo?.

Unaweza kutoka mahusiano kwenda mahusiano Ila kutoka kwenye kifungo cha kutokusamehe kutakutengenezea mahusiano yako huko mbele yatakuwaje?

Kuna magonjwa mengine tunakuwa nayo Kwa sababu hatukuwa samehe wenzetu, Jenga tabia ya kusamehe , ukiwa MTU wa kutokusamehe pia ujue kuna mahali watu watakukimbia

Kuna watu ukikaa nao Kwa sababu ndani Yao hakuna kusamehe mioyo Yao inakuwa na majeraha mwisho wa siku wanashinda kuwa na mahusiano mazuri sio Tu na wenzi wao Ila pamoja na watumishi wenzao

Helaa, fedha, mshiko, maokoto, chapaa, ndio sbb namba moja
 
Hii sababu ya kwamba ukata unasababisha wanandoa kuachana Sina hakika sana kama ina mashiko. Pamoja na ukwasi alionao Bill gates na mkewe wameachana wakati huo babu yangu kijijini hajawahi kuwa tajiri lakini ameishi na bibi kwa miaka lukuki hadi sasa wana miaka chungu nzima

Sent using Jamii Forums mobile app
 
A. Kutokusamehe
B. Kuwa na Matarajio yasiyo halisi
C. Kutokuchukuliana madhahifu
D. Kutokujua wajibu wako katika mahusiano
E. Kipato

Jambo la kwanza

Kutokusamehe
Kwakweli kuna kitu ambacho waganajiuliza inakuaje wanandoa wemeachana miaka 10 au 20 lakini ukikaa nao utaskia mmoja anasema mabaya ya mwenzake? Watu wengi kwenye ndoa kama kitu kinaweza kujenga au kuharibu mahusiano ni kuto kusamehana

Unaweza kushanga MTU Yuko tayari kupatana na marafiki zake ambao wamekosana lakini hawezi kupata na mweza wake Ambao wako kitanda kimoja?

Kuna watu kwa sababu labda ni aina ya maisha tuliyokuwa nayo au malezi tuliyopokea au Mila na desturi za makabila yetu unaona kwamba kitendo cha kuomba msamaha au kumsamehe mwenzako ni kitendo cha kujishusha Kwa hiyo unaendeleza bifu na mwenzako unatafuta mbabe

Kwenye Maisha ya dunia hii Jenga tabia ya kushinda kwenye mashindano lakini kuwa MTU wa kushinda vita , you can losing the battle but winning the war

Ukimjua mwenzako ni MTU wa kushinda vita kuwa MTU wa kushinda mashindano na Maisha yanabadilika ila kila mmoja katika mahusiano akiwa ni MTU wa kushinda mashindano ujue kuna shida mahali

Neno msamaha ni dogo kulisema Ila Lina maana kubwa Sana , ukiwa MTU wa kusamehe utatengeneza mazingira mazuri pia kwenye mahusiano yako ya jayo

Kwanini watu wanatoka mahusiano moja kwenda mengine na pia uko mahusiano yanavunjika pia kama hapo mwanzo?.

Unaweza kutoka mahusiano kwenda mahusiano Ila kutoka kwenye kifungo cha kutokusamehe kutakutengenezea mahusiano yako huko mbele yatakuwaje?

Kuna magonjwa mengine tunakuwa nayo Kwa sababu hatukuwa samehe wenzetu, Jenga tabia ya kusamehe , ukiwa MTU wa kutokusamehe pia ujue kuna mahali watu watakukimbia

Kuna watu ukikaa nao Kwa sababu ndani Yao hakuna kusamehe mioyo Yao inakuwa na majeraha mwisho wa siku wanashinda kuwa na mahusiano mazuri sio Tu na wenzi wao Ila pamoja na watumishi wenzao
Ma-ex -kuna bond huwa hazivunjiki,wakati mkitimiza miaka mitano ya ndoa yenu kuna mjinga naye yupo humo anatimiza miaka kumi ya mahusiano na mmoja wenu.
 
Sidhani kama mahusiano yana formula sahihi. Unaweza kusamehe vyote ila bado ukaonekana useless🚮
 
A. Kutokusamehe
B. Kuwa na Matarajio yasiyo halisi
C. Kutokuchukuliana madhahifu
D. Kutokujua wajibu wako katika mahusiano
E. Kipato

Jambo la kwanza

Kutokusamehe
Kwakweli kuna kitu ambacho waganajiuliza inakuaje wanandoa wemeachana miaka 10 au 20 lakini ukikaa nao utaskia mmoja anasema mabaya ya mwenzake? Watu wengi kwenye ndoa kama kitu kinaweza kujenga au kuharibu mahusiano ni kuto kusamehana

Unaweza kushanga MTU Yuko tayari kupatana na marafiki zake ambao wamekosana lakini hawezi kupata na mweza wake Ambao wako kitanda kimoja?

Kuna watu kwa sababu labda ni aina ya maisha tuliyokuwa nayo au malezi tuliyopokea au Mila na desturi za makabila yetu unaona kwamba kitendo cha kuomba msamaha au kumsamehe mwenzako ni kitendo cha kujishusha Kwa hiyo unaendeleza bifu na mwenzako unatafuta mbabe

Kwenye Maisha ya dunia hii Jenga tabia ya kushinda kwenye mashindano lakini kuwa MTU wa kushinda vita , you can losing the battle but winning the war

Ukimjua mwenzako ni MTU wa kushinda vita kuwa MTU wa kushinda mashindano na Maisha yanabadilika ila kila mmoja katika mahusiano akiwa ni MTU wa kushinda mashindano ujue kuna shida mahali

Neno msamaha ni dogo kulisema Ila Lina maana kubwa Sana , ukiwa MTU wa kusamehe utatengeneza mazingira mazuri pia kwenye mahusiano yako ya jayo

Kwanini watu wanatoka mahusiano moja kwenda mengine na pia uko mahusiano yanavunjika pia kama hapo mwanzo?.

Unaweza kutoka mahusiano kwenda mahusiano Ila kutoka kwenye kifungo cha kutokusamehe kutakutengenezea mahusiano yako huko mbele yatakuwaje?

Kuna magonjwa mengine tunakuwa nayo Kwa sababu hatukuwa samehe wenzetu, Jenga tabia ya kusamehe , ukiwa MTU wa kutokusamehe pia ujue kuna mahali watu watakukimbia

Kuna watu ukikaa nao Kwa sababu ndani Yao hakuna kusamehe mioyo Yao inakuwa na majeraha mwisho wa siku wanashinda kuwa na mahusiano mazuri sio Tu na wenzi wao Ila pamoja na watumishi wenzao
...hakuna kitu ngumu kama kusamehe mtu asiyeonesha uhitaji wa msamaha wako hapo unakuwa unajisamehe mwenyewe.!
 
Back
Top Bottom