mgangawaukoo
JF-Expert Member
- May 8, 2016
- 2,183
- 2,394
Wale wanamatatizo yao binasfi ndiyo mana wapo kule!Aaah wapi... Ingekuwa hivyo walokole wengi wangeolewa. Lakin wao ndio wanaoongoza kukesha kanisani kuomva wapate waume.
Kuolewa hakuna formula...
Huoni kama wanafanya jambo la maana kukesha kanisani wakiomba kwa ajili ya waume boraAaah wapi... Ingekuwa hivyo walokole wengi wangeolewa. Lakin wao ndio wanaoongoza kukesha kanisani kuomva wapate waume.
Kuolewa hakuna formula...
Hakuna attachment mkuu ipo kawaida tuu ebu zima cm yako halafu uwashe tena...Hiyo attachment mnayochangia mbona mimi siioni?? Nadownload inakoishia sipajui
Ok ngoja nijaribuHakuna attachment mkuu ipo kawaida tuu ebu zima cm yako halafu uwashe tena...
Nimecheka kweli kweli upo sawa mamito, haya mambo hayana fomula kwanza machakalamu wanaolewa mapema kuliko watakatifuAaah wapi... Ingekuwa hivyo walokole wengi wangeolewa. Lakin wao ndio wanaoongoza kukesha kanisani kuomva wapate waume.
Kuolewa hakuna formula...
Sasa kila siku nakualika PM tufanye kitchen party lakini unachomoa hali ya kuwa uko single na unalialia.Hatufanyi yote hayo na bado tuko single.
We njoo pm acha kujishauwa weyeee,njoo upate mbegu asilia au vipi?Mbona mnatunyanyapaa sana sisi jamani [emoji22][emoji22]
Huoni kama wanafanya jambo la maana kukesha kanisani wakiomba kwa ajili ya waume bora
Tafuta magadi uogeHatufanyi yote hayo na bado tuko single.
Huoni kwamba wanaume kwa case hiyo ndo cio wakweliHakuna lolote, tena wao ndio huangulia pua asikwambie mtu... Maana ni rahisi sana kunasika kwa wanaume viwembe... Fanya uchunguzi maana akiambiwa nakuoa anakubali akidhani ndio mume mwema aliyekuwa anamuomba kwa kukesha kanisani.