Sababu 5 zinazosababisha uume kuwa mdogo

Sababu 5 zinazosababisha uume kuwa mdogo

Mimi siogopi mwanamke. Hatanikiwa na uume mdogo ilimradi namwandaa vyakutosha mm nauume mdogo ila nawakojolesha wanawake nawanafika kileleni unaweza ukawanalo kubwa ucjue kulitumia au ukapiga goli 1 likachukua mda mrefu kucmama mwanaume anae ogopa mwanamke niyule mwenye govi ila kwauume mdogo subutu.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Sasa kumbe umejiita wakulichomeka wakati una uume mdogo, nilijua una limti aiseee
 
Wanaume wengi huhofia kuhusu size ya vibamia vyao. Lakini kusema ukweli, kuwa na kibamia siyo ishu. Ishu ni namna ya kukitumia hicho kibamia (It is not the size what matters, it is what you do with it). After all, mwenye kibamia bado anaweza kumfurahisha mwanamke sana, kutegemea tu kwamba anaelekeza mashambulizi yake kwenye maeneo gani. Ukiingiza Inchi moja au mbili tu za papuchi tayari unakuwa kwenye G- Spot, eneo lenye nye. ge nyingi kwa mwanamke. Aidha, milalo wakati wa kugegedana nayo inawezesha mtu ambaye hajabarikiwa kwenye idara ya ndani ya suruali kumliza hny wake vikubwa. (Kamasutra sex positions).
 
Kwa maisha ya sasa moja ya sifa ya urijali wa mwanaume haupimwi kwa ukubwa wa dushe bali kwa uwezo wake kiuchumi....hata uwe na mjebele kama mkonga wa tembo kama uchumi wako unayumba utaliona zito kama busha.....
Mweee!! Sikutaraji kucheka hivi, kha!!
 
Wanaume wengi huhofia kuhusu size ya vibamia vyao. Lakini kusema ukweli, kuwa na kibamia siyo ishu. Ishu ni namna ya kukitumia hicho kibamia (It is not the size what matters, it is what you do with it). After all, mwenye kibamia bado anaweza kumfurahisha mwanamke sana, kutegemea tu kwamba anaelekeza mashambulizi yake kwenye maeneo gani. Ukiingiza Inchi moja au mbili tu za papuchi tayari unakuwa kwenye G- Spot, eneo lenye nye. ge nyingi kwa mwanamke. Aidha, milalo wakati wa kugegedana nayo inawezesha mtu ambaye hajabarikiwa kwenye idara ya ndani ya suruali kumliza hny wake vikubwa. (Kamasutra sex positions).
Well said!!
 
Kundi kubwa la wanaume ambao wanashindwa kufurahia tendo la ndoa kutokana na kuwa na uume mdogo kupita kawaida...
Wanaume walio na tatizo hili wengi wao huwa hawana confidence ya kuingia katika mahusiano na wasichana ama wanawake wanao fahamiana nao kutokana na kuogopa " siri" zao kujulikana hususani pale uhusiano wao unapofika mwisho..
Ikitokea mwanaume akiwa katika uhusiano na mwanamke "mcharuko" ( asiye mstaarabu ) mwanamke huyo anaweza kuanza kumvua nguo hadharani kwa kumtangazia kwa watu kuwa na uume mdogo .
" Mwanaume utakuwa wewe!" na lugha za namna hiyo hutawala midomoni mwa wanawake hawo....

Matokeo yake sasa wanaume walio na tatizo hili huamua kutokuwa na uhusiano wa kimapenzi na wanawake wanao fahamiana nao, na badala yake huamua kuanzisha tabia ya kuwa wanajamiiana na wanawake wanaouza miili yao ama
kujihusisha na upigaji punyeto n.k.

NINI CHANZO CHA UUME KUWA MDOGO.

1. Kupiga Punyeto kwa muda mrefu..
Hali hii husababisha kusinyaa kwa uume na hatimaye uume kurudi ndani.

2. Kuugua chango la uzazi.
3. Magonjwa ya utotoni.
4. Kutahiriwa mapema
5. Kurithi kutoka kwa wazazi :

Wanaume wengine wana maumbile madogo kwa sababu wamerithi maumbilehayo kutoka kwa wazazi wao.

Hata ukiwa na uume mdogo lakini ATM yako inasoma wanawake watakutafuta tu sioni kama kuna tatizo.
 
Kwakuwa umesema uume mdogo kupita kawaida, ila vibamia wengine hawanashida mbona wanafurahia tu na vibamia vyao

Na kweli maana wapo vinaowaliza licha ya udogo wake!Kazi ya Mungu haina makosa.

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Ebwana ee pesa ni pesa na dushe ni dushe we utalingia ATM wkt wenye mitalimbo yao wanakula bure na hela wanaongwa msichanganye mambo hapo kibamia ni tatzo kiukweli ukiwa nacho raha ya mapenzi upungua kwa asilimia 50 hila kazi ya mungu haina makosa hakuna mkamirifu turidhike na vile tulivyo umbwa navyo.
 
Back
Top Bottom