Sababu 5 zinazosababisha uume kuwa mdogo

Sababu 5 zinazosababisha uume kuwa mdogo

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,086
Reaction score
34,883

1489261_332978590174937_1945856946_n.jpg


Kundi kubwa la wanaume ambao wanashindwa kufurahia tendo la ndoa kutokana na kuwa na uume mdogo kupita kawaida.

Wanaume walio na tatizo hili wengi wao huwa hawana confidence ya kuingia katika mahusiano na wasichana ama wanawake wanao fahamiana nao kutokana na kuogopa " siri" zao kujulikana hususani pale uhusiano wao unapofika mwisho.

Ikitokea mwanaume akiwa katika uhusiano na mwanamke "mcharuko" ( asiye mstaarabu ) mwanamke huyo anaweza kuanza kumvua nguo hadharani kwa kumtangazia kwa watu kuwa na uume mdogo. " Mwanaume utakuwa wewe!" na lugha za namna hiyo hutawala midomoni mwa wanawake hawo.

Matokeo yake sasa wanaume walio na tatizo hili huamua kutokuwa na uhusiano wa kimapenzi na wanawake wanao fahamiana nao, na badala yake huamua kuanzisha tabia ya kuwa wanajamiiana na wanawake wanaouza miili yao ama
kujihusisha na upigaji punyeto n.k.

NINI CHANZO CHA UUME KUWA MDOGO.

1. Kupiga Punyeto kwa muda mrefu..
Hali hii husababisha kusinyaa kwa uume na hatimaye uume kurudi ndani.
2. Kuugua chango la uzazi.
3. Magonjwa ya utotoni.
4. Kutahiriwa mapema
5. Kurithi kutoka kwa wazazi.

Wanaume wengine wana maumbile madogo kwa sababu wamerithi maumbilehayo kutoka kwa wazazi wao.
 
Mzizimkavu sasa sisi tuliozaliwa utotoni si ndo itakuwa majanga kabsa mashine itakuwa ndogo balaa
 
Kwa maisha ya sasa moja ya sifa ya urijali wa mwanaume haupimwi kwa ukubwa wa dushe bali kwa uwezo wake kiuchumi....hata uwe na mjebele kama mkonga wa tembo kama uchumi wako unayumba utaliona zito kama busha.....
 
Ongezea na kuvalishwa pampers muda mwingi wakati wa utoto na kuvaa chupi zinazobana ukubwani hasa kulala nazo, na tatizo hili si kwa wanaume tu hata wanawake linawakumba pia.
 
Kwakuwa umesema uume mdogo kupita kawaida, ila vibamia wengine hawanashida mbona wanafurahia tu na vibamia vyao
Kuna kufurahi kwa kuhisi (psychological) na kuna kufurahi kwa kufanya hitimisho la tendo kiuharisia
 
Back
Top Bottom