sababu 3 za kuichukia chadema

Tuwaulize nyie! kwa kuwa hao uliowataja ni waislamu ndio maana mnalalamika mguu na kuonesha chuki zenu dhidi ya uislamu. Yaani nyie mnataka hao wote wawe wakristo ndio tatizo lenu.
Kweli wewe una problem number eleven, nimekutajia hao viongozi waandamizi wote ni waislamu lakini mbona hamuishi ulalamishi? huo ndio msingi wangu wa swali sasa na wewe jenga hoja, usijibu kama upo kwenye miadhara ya Yesu alikuwa muislamu.
 
Kweli wewe una problem number eleven, nimekutajia hao viongozi waandamizi wote ni waislamu lakini mbona hamuishi ulalamishi? huo ndio msingi wangu wa swali sasa na wewe jenga hoja, usijibu kama upo kwenye miadhara ya Yesu alikuwa muislamu.
sasa tumelalamika nini na hali ya kuwa hao wote ni waislamu? sisi tunachokiamini ni kuwa chadema kinaupinga uislamu bila chenga kwahiyo hatuwezi kukipenda.
 
sasa tumelalamika nini na hali ya kuwa hao wote ni waislamu? sisi tunachokiamini ni kuwa chadema kinaupinga uislamu bila chenga kwahiyo hatuwezi kukipenda.
Inaonekana wewe huudhurii ibada misikitini na hata makongamano ya wanaojiita wanazuoni wa kiislamu huwa huudhurii, ni nani huwa analalamikia mfumo kristo? unajuwa mantiki ya mimi kukutajia viongozi wote wakuu hao ni waislamu.
Tupeleke watoto shule, andika hili kwenye note book yako.
 
By FaizaFoxy

Ulionena ni ukweli mtupu na utwaona humu sasa hivi wataanza kupinga bila ufahamu. Hilo l udini linajulikana sana kwani tumesahau Sumbawanga?

Umewashika pazuri, la Zitto na Mwenyekiti halina ujanja mpaka humu wanalijuwa sana, tena turufu kubwa ya Magwanda ni Zitto na wanafanya kila hila kumchokonowa, hivi wanafikiri bila Zitto wangeupata umaarufu waliokuwa nao?

Wana Jf, nawashangaa sana watu hawa wa taili ya FaizaFoxy, kwani shibuda alipo ondoa jina lake kuwania u rais ndani ya ccm ilikua ni ukabila? au mnataka kufurahisha watu wawaone mnajua kuikosoa cdm?

Kila chama kina mipangilio na malengo yake na kwa kipindi fulani na wakati utakapo fika mtaona matokeo. Mwalimu JK alimstopisha ****** asigombee urais mbona hamku lalama na ukabila? yapo mambo ya muhimu kuangalia kabla ya maamuzi makubwa na ya kitaifa.

Ninawapa japo kidogo kamma una akilii utaelewa.
 

hapana sijui unaweza ukanifahamisha.
 
Usijifanye kujua mambo ya sumbawanga kuzidi wenyeji walioshuhudia dharaua za mbunge Aesh kwa wakatoliki. Kutumia njia ya utatu ( baba, mwana na roho mtakatifu) kufananisha na Rais, mbunge na Diwani. Mbaya zaidi baada ya uchaguzi kwisha alipanga watu waliobeba jeneza lenye bendera ya CDM ndani yake kama ishara ya maiti ya CDM, kuliingiza kwenye nyumba ya ibada kufanya maombezi na kisha kwenda kulizika makaburini.Ulitataka viongozi wa dini wachekelee na kufurahia?
 

Mbona Washia na Wasuni wanalipuana kila uchao huko Mashariki ya Kati? Au ndio kale kausemi kwamba Marekani ndio wanawachonganisha?
 

IGP, Said Mwema?
 
Tuwaulize nyie! kwa kuwa hao uliowataja ni waislamu ndio maana mnalalamika mguu na kuonesha chuki zenu dhidi ya uislamu. Yaani nyie mnataka hao wote wawe wakristo ndio tatizo lenu.

Wewe jiulize ni mambo gani ya maendeleo aliyoyafanya JK hadi aendelee kuwa Ikulu? Wewe rejea ahadi zake zote kisha uje na majibu! Alichofanikiwa sana sana ni kujaza Waislamu na rafiki zake kwenye post mbalimbali kisha anashindwa kuwachukulia hatua wanapoboronga! Wakristo hawamchukii JK kama baadhi ya Waislamu walivyoaminishwa, ndio maana Maaskofu walimpigia debe sana mwaka 2005 hadi kumwita "Chaguo la Mungu!" Au Uislamu wa JK kwa 2005 ulikuwa tofauti na wa 2010? Yaani JK amechoka mbaya, hana pa kushika zaidi ya kuwakumbatia Waislamu wwnzake ili angalau aendelee kuwepo Ikulu!
 

atukanwe halafu tuonekane kama woote humu ndani ni cdm kumbe wengine ni ccm b!
 

naungana na wajumbe wengine kusema kuwa ZITTO ni sehemu ya chama kwa sababu n mwanachama lakin kutokuwepo kwake hakumahanishi kuwa CDM haitakuwepo hapa,pia suala la UDIN & UKABILA n ajenda inayotumiwa na NYINYIM(CCM) KWA MANUFAA yao kisiasa kwa sababu wanajua kuwa watz weng hawana elimu kwa hiyo kutumia kaul km hzo zitawapatia umaarufu kwa wajinga.Waachen wao na mapinduz yao ya kuwapindua wananch nawenye kujìtambua waje kwenye democracy & maendeleo yanayohusu taifa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…