sababu 3 za kuichukia chadema

Mwanangu hapo umegusa kwenye kidonda shikilia hapohapo ukichoka niite nikusaidie.magwanda wajinga kweli hawa!
 
Kibondei KADAMFU maana yake kala maiti
 
Udini anao mweneykiti wa ccm anayepanga maswaaba zake kwenye nafasi nyeti kitaifa wakati hawana uwezo wa kulifanyia chochote taifa hili!
 
Mwanangu hapo umegusa kwenye kidonda shikilia hapohapo ukichoka niite nikusaidie.magwanda wajinga kweli hawa!
hawana mpango wala nini,wanajiona babu kubwa sana wanapokuwa kwenye JF,chuki zao dhidi ya uislamu wala hazijifichi.
 
acha chuki na waislamu.:A S thumbs_down:
Hakuna mwenye chuki na waislamu, hila tunakemea tabaka linaloendekeza njaa bila kujali dini zao, mbona usikii malalamiko ya waisllamu kama wa ismailia, shia n:k? au unadhani waislamu ni sunni tu hapa Tanzania? jiangalie upya kabla ujacomment.
 
Udini anao mweneykiti wa ccm anayepanga maswaaba zake kwenye nafasi nyeti kitaifa wakati hawana uwezo wa kulifanyia chochote taifa hili!
hapo kwenye red ni maswahiba.Unaweza ukatupa majina ya hao watu?
 
Hakuna mwenye chuki na waislamu, hila tunakemea tabaka linaloendekeza njaa bila kujali dini zao, mbona usikii malalamiko ya waisllamu kama wa ismailia, shia n:k? au unadhani waislamu ni sunni tu hapa Tanzania? jiangalie upya kabla ujacomment.
acha propaganda ndugu yangu,waislamu ni waislamu tu,wote tunaamini Muhammad(SAW)ni mtume wetu na Allah (SW)ndiye aliyetuumba na hakuna hata mchukia uislamu mmoja akakuambia eti mimi nawachukia Ismailia na kuwapenda Sunni.chuki yenu ni dhidi ya uislamu,kwisha kazi.
 
Niambie ni lini uliwasikia Aga khan wakilalamika kunyanyaswa kwa uislamu wao? wewe piga porojo na Bakwata wenzako lakini waislamu wa ukweli ndio wanaokula good time nchi hii, wewe jiweke kwenye orodha ya kulalama kama Bakwata na thamani yako itakuja kuwa ni ubwabwa na shilling elfu 5000.
Mnapiga kelele kila kuhusu Mou wakati Aga khan wameapply mou na wamekubaliwa, nyinyi kazi ya mihadhara isiyokuwa na tija na kulalamika nonsense.
Rais Mwislamu, makamo wake mwislamu, waziri wa fedha mwislamu, mkuu wa usalama wa Taifa mwislamu, jaji mkuu mwislamu, sasa mnataka nini nyinyi viumbe?
 
Tuwaulize nyie! kwa kuwa hao uliowataja ni waislamu ndio maana mnalalamika mguu na kuonesha chuki zenu dhidi ya uislamu. Yaani nyie mnataka hao wote wawe wakristo ndio tatizo lenu.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…