sababu 3 za kuichukia chadema

Kama hayo ndio ukweli unaoufahamu we ni mgonjwa usiyetibika hata india,hebu tumia akili na muda wako kufanya kauchunguzi kadogo acha kukurupuka jua huongei na vilaza wala wazee wa DSM na kama umetumwa kawaambie hatudanganyiki mjinga nkubwa
Kwa shule hii aliyosoma unategemea nini?
 
Kipindi hiki chuki zitasambazwa kwa gharama yeyote hata ikibidi kutoa uhai wa mtu.

Ni aibu sana Watanzania
 

wewe huna tofauti na PASCAL MAYALA jana kwenye mdahalo aliposema anaomba ku-declare interest kuwa yuko neutral kwenye mchango wake ila akaonekana waziwazi anampinga LISU na hata kudiriki kumuingilia wakati anajibu hoja zake.
mkuu kwa hili kajipange upya uje tena....ila hata ukija upya utakutana na strong resistance bado.
 
Hizi ni dalili ya CDM kuwa chama kitakachoongoza nchi hii come 2015!
 
Hoja nyepesi kipindi kinachoitajika hoja nzito...
 
Huyu zitto ni nyoka mdogo sana ndani ya CDM uwepo wake ni saw na uwepo wa makada wengi tu ndani ya CDM, mwambieni ahamie CCM basi ili kurudisha umaarufu wa chama chenu!
Kuliko mnakalia kumsifia kila uchwao hapa bila tija!
 
thinking aloud using masaburi! mtoa mada mada yako ina mtindio wa ubongo!
 
"Jambo usilolijua ni kama usiku wa KIza"
Mshauri Zitto aondoke CDM halfu uone nani atakufa kati ya CDM na Zitto.Yeye mwenyewe analijua ndio maana ilipokuja issue ya NCCR na Kafulila kajitetea kwa nguvu zote.Wadini ni wale wanaotaka watu wao waonekane ijapokua wana mapungufu makubwa.Walimuweka JK aonekane ni kinara ameshindwa kumpiku hata aliyemchafua kua ni fisadi na mwisho wake amebaki kuumbuka mwenyewe.Uongozi sio maneno.Kwa taarifa yako Zitto ni Opportunist na Kigeugeu ndio maana atahaha sana mpaka atakaporudi kwenye mstari na kuonyesha uelekeo sahihi.
 
Mie nawapenda. Sababu ni kupata mawazo mbadala katika kila jambo linalohusu mustakabali wa taifa, ingawa kuipenda kwangu haimaanishi kuwa nakubaliana nao katika kila hoja zao... Kupokea mawazo kinzani ni afya ya akili na ya taifa linalopigania kusonga mbele na ndio maana nashabikia watu waache watoe maoni yao watakavyo lakini mwisho wa siku kila mtu aheshimike na abaki kuwa na msimamo wake!.
 

Join Date : 18th November 2011

Huyu ni yule sheikh asiyejua kuweka herufi kubwa, baada ya vituo, maandishi kuanzia kulia kwenda kushoto, Mhariri wa An nuur
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…