Nahitaji saa za mkononi kama tano nataka kujua brand ipi ni nzuri na safe, Pia naomba nijue saa hizo zinaweza kuwa na GPS ila zisiwe smart watch, Je nta sychronous vipi majira ili saa zote ziende kwa pamoja kuanzia sekunde,dakika n.k , Zikiwa non rechargeable itakuwa vizuri pia ziwe waterproof, Nahitaji muongozo ktk manunuzi ya hizi saa za mkononi
Zisiwe za mshale pia situmia Mikanda ya plastics au rubber