M multmandalin JF-Expert Member Joined Sep 8, 2012 Posts 2,034 Reaction score 584 Nov 25, 2014 #21 FaizaFoxy said: Huo si msumeno wa mbao? Nadhani ingekuwa ni saa ya Carpenter badala ya "engineer". Click to expand... We bibi mabao yatakuwa ya haraka mno, huwa hayanogi HAAATA!
FaizaFoxy said: Huo si msumeno wa mbao? Nadhani ingekuwa ni saa ya Carpenter badala ya "engineer". Click to expand... We bibi mabao yatakuwa ya haraka mno, huwa hayanogi HAAATA!
FaizaFoxy Platinum Member Joined Apr 13, 2011 Posts 100,506 Reaction score 123,822 Nov 25, 2014 #22 multmandalin said: We bibi mabao yatakuwa ya haraka mno, huwa hayanogi HAAATA! Click to expand... Wewe hujaalikwa Dodoma? Utakuwa ni katika lile fungu la bavichaa walioonekana hawana maana.
multmandalin said: We bibi mabao yatakuwa ya haraka mno, huwa hayanogi HAAATA! Click to expand... Wewe hujaalikwa Dodoma? Utakuwa ni katika lile fungu la bavichaa walioonekana hawana maana.
SaaMbovu JF-Expert Member Joined Oct 8, 2013 Posts 6,028 Reaction score 5,359 Nov 25, 2014 Thread starter #23 utafiti said: Itaku SaaMbovu hii Click to expand... Hahahaaaa angalia muda ambao unaonekana kwa chini na muda ambao saa yenyewe inavyoonyesha. Ni sawa kabisa. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
utafiti said: Itaku SaaMbovu hii Click to expand... Hahahaaaa angalia muda ambao unaonekana kwa chini na muda ambao saa yenyewe inavyoonyesha. Ni sawa kabisa.
MO11 JF-Expert Member Joined Mar 23, 2014 Posts 19,698 Reaction score 42,013 Nov 25, 2014 #24 FaizaFoxy said: Kwa hiyo ni saa ya carpenter. Click to expand... Mimi nasema hiyo ni ofisi ya injinia
FaizaFoxy said: Kwa hiyo ni saa ya carpenter. Click to expand... Mimi nasema hiyo ni ofisi ya injinia
FaizaFoxy Platinum Member Joined Apr 13, 2011 Posts 100,506 Reaction score 123,822 Nov 25, 2014 #25 MO11 said: Mimi nasema hiyo ni ofisi ya injinia Click to expand... Mimi nasema ni saa ya carpenter.
MO11 JF-Expert Member Joined Mar 23, 2014 Posts 19,698 Reaction score 42,013 Nov 25, 2014 #26 FaizaFoxy said: Mimi nasema ni saa ya carpenter. Click to expand... mimi nasema ni saa ya injinia
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,702 Reaction score 48,146 Nov 25, 2014 #27 Kama umeinama na kwa bahati mbaya imekuangukia shingoni ni hatari sana
SaaMbovu JF-Expert Member Joined Oct 8, 2013 Posts 6,028 Reaction score 5,359 Dec 12, 2014 Thread starter #28 MO11 said: mimi nasema ni saa ya injinia Click to expand... Sawa kabisa.