Wapi huko ofisi yako ilipo.
Huo si msumeno wa mbao? Nadhani ingekuwa ni saa ya Carpenter badala ya "engineer".
Huo si msumeno wa mbao? Nadhani ingekuwa ni saa ya Carpenter badala ya "engineer".
wewe acha ubishi umeambiwa hapo kwa injinia huyu carpenter ungeleta picha wewe
Kwani engineer hawezi kuwa carpenter? Au carpenter hawezi kuwa engineer?
Huyu akiona hakuna sledi za kuishambulia sisiemu ama dini fulani anarukia sledi ovyo ovyo na comment zake uchwaraKweli ni nimekuta mtu ila ni Mhindi na hajui Kiswahili labda kusema tu 'jambo'
Huyo engineer wa mbao?
umeiona mbao hapo ?
Nimeona msumeno wa kukatia mbao.
kwa hiyo ??