Jamani kuuliza sio ujinga, mimi kwenye jografia sio mkali. sasa naomba kuuliza Ni saa ipi inayotumika kama reference ya saa zingine duniani?? na hiyo saa iko wapi (nchi gani?). naomba kama hata kuna video inayoonyesha jinsi inavyofanya kazi.
na je hiyo saa inatumia theory gani ili kuwa accurate?
....Nawasilisha waheshimiwa...
hii hapa saa ya dunia WorldClock.com: The Leading Authority for World Time and Statistics
hii hapa saa ya dunia WorldClock.com: The Leading Authority for World Time and Statistics
na mimi nimeshangaa sijui na wanaokufa inatoaje. mambo ya assumption.Duh hizi statistics za watu zimekaaje???
World Population Clock 7,110,386,803
Male 3,565,293,510
Female 3,545,093,292
Total ever born 106,825,703,204
Births this year 187,834,615
Na hapo ni as at 16:38:56 23/06/2014 ...wanapatapataje hizi idadi!???
Kuhoji kila kitu ni vizuri japo haipendezi
Jamani kuuliza sio ujinga, mimi kwenye jografia sio mkali. sasa naomba kuuliza Ni saa ipi inayotumika kama reference ya saa zingine duniani?? na hiyo saa iko wapi (nchi gani?). naomba kama hata kuna video inayoonyesha jinsi inavyofanya kazi.
na je hiyo saa inatumia theory gani ili kuwa accurate?
....Nawasilisha waheshimiwa...
mie nnavyojua muda uwa unaanza kuhesabiwa greenwich uingereza ambapo uwa kuna imaginary line umechorwa kuanzia hapo greenwich sikumbuki ila uwa unapita accra ghana
basi hapo ndo uwa tunapata international refference GMT greenwich mean time, kama ilivyo dollar kwenye currency,
mie nnavyojua muda uwa unaanza kuhesabiwa greenwich uingereza ambapo uwa kuna imaginary line umechorwa kuanzia hapo greenwich sikumbuki ila uwa unapita accra ghana
basi hapo ndo uwa tunapata international refference GMT greenwich mean time, kama ilivyo dollar kwenye currency,
Upo sahihi mkuu! Mstari wa
greenwich una degrees 0 so degreez zna ongezeka either kwenda east or
west! Na hapo kila degree inayoongezeka kuna kias cha dakika znaongezeka
kama ukielekea east from greenwich na tunatoa dakika kwa kila degree
kuelekea west!
Sna kumbukumbu ya kias kamili cha dakika kwa kila degree inayoongezeka
au kupungua! But its like that!
Jamani kuuliza sio ujinga, mimi kwenye jografia sio mkali. sasa naomba kuuliza Ni saa ipi inayotumika kama reference ya saa zingine duniani?? na hiyo saa iko wapi (nchi gani?). naomba kama hata kuna video inayoonyesha jinsi inavyofanya kazi.
na je hiyo saa inatumia theory gani ili kuwa accurate?
....Nawasilisha waheshimiwa...
na mimi nimeshangaa sijui na wanaokufa inatoaje. mambo ya assumption.
Ahh ok, KWANZA! Kama nlivyosema dunia inaenda inapunguza speed ya mzunguko wake(Rotation, again sababu zipo kwanini)! Kama saa zetu zingekua zinaenda bila marekebisho yeyote then zitakua zinakimbia kuzidi muda halisi wa dunia. Kwa lugha ingine kama saa zisingerekebishwa itafika muda Saa inakuonesha ni saa sita usiku lakini ukiangalia nje ni jioni, sababu dunia inapunguza mzunguko wake siku zinakua ndefu kuisha hivyo saa inabidi zirekebishwe masaa ya siku ili ziendane na uhalisia!! (Search LEAP SECONDS kama unataka maelezo zaidi kuhusu hilo, hii ni kama vile LEAP years tu ambapo siku zinaondolewa au kuongezwa kwene mwaka{mwez wa pili} ili kurekebisha majira)goodguy, umesema saa inapokosea huongezwa muda,right?sasa hiyo saa ni hii ninayovaa au ni ya ukutani au ni ipi? Na je huongezwa na nani?
Brother swali ulilouliza sio la kijinga kabisa, actually ni swali technical na ni kitu ambacho most people are unaware of!! I've seen alot of .....................................--
Kuhoji kila kitu ni vizuri japo haipendezi
Asante mkuu, mimi nilikuwa ninahisi kwamba saa ambayo ipo accurate itakuwa ni something like very big Analog Clock ambayo itakuwa inatumia kitu kama SIMPLE PENDULUM motion kama seconds pamoja na earth magnetic effects ili kuweza ku-detect Earth's motion, kwa sababu mzunguko wa dunia sio linear/steady basi hiyo saa itakuwa ina-vary na mzunguko wa dunia.
Sasa Swali lingine, hiyo atomic clock inaonekana imetumiaka kuanzia mwaka 2004, je kabla ya hapo ni saa ipi ilikuwa ya reference?
Na je? Location/nchi ilipo hiyo saa ya kuaminika ni wapi?
Je? Big Ben iliyopo London sio saa ya kuaminika? yaani inayo mechanism ya kujirekebisha yenyewe kulingana na mzunguko wa dunia?
*********Asanteni kwa utaalamu wenu******
Hello ymollel , kwanza before everything nikusahihishe kidogo! Atomic clocks zimekuepo kwa muda mrefu zaidi ya hapo! Tangu around 1940's. Sio 2004! Pili, kwa sasa kuna atomic clocks zaidi ya 200 nadhani distributed around the globe ambazo zinaangaliwa na muda wake ndo unarekebishwa na majira yale ya dunia!! Hivyo wewe labda saa yako ikipoteza majira mayb ukamuuliza rafiki yako labda akakwambia, yeye amerekebisha yake baada ya kusikia redioni wakitangaza muda ambao nao wameupata kutoka kwene agencies zinazoshughulika kuhakikisha muda unakwenda sawa! So kuna sababu mkuu kila mara radio zinatangaza muda au unaona muda kwene TV or internet. KUNA SABABU, nadhan unaiona by now!! Na kweli kama ulivyosema simple Pendulum sio reliable kabisa. SWALI SASA Je watu walikua wanatumia nini kujua muda before atomic clocks!? LABDA turudi nyuma kabisa around miaka ya 1800! Miaka hiyo matajiri tu ndo walikua na uwezo wa kumiliki saa na watu walikua wakitegemea kuna kifaa flan kama kimbao ukikiweka kwene jua kinatoa kivuli cjui ka ushakiona, its called 'sundial', ntaatach some google pics below, anyways hii ikasababisha kila mtu kua na mida yake, ikapelekea usafiri ukawa shida you can imagine kila mtu ana saa yake ina mda wake inakuaje mkipanga muda. Na mambo ka hayo. HII ndo ikasababisha ujio wa majira ya Prime Meridian Greenwich kama standard kwa wote! Kuna jumba moja in Greenwich London (sasa ni makumbusho) ila believe it or not kulikua na mpira juuu kabisa ambao ulikua unapandishwa juu nusu mringoti ifikapo saa (12:55 i think) afu juu kabisa (12:58) na kudodoka saa (13:00GMT) kamili! Watu walikua wanarekebisha against that, ilikua na shida zake ka kukiwa na hali ya hewa mbaya ndo basi tena, pia ukishakosa hio mida ndo basi mpaka kesho na vitu hivyo!! Ukisogea miaka ya mbele na karibu na miaka ya 1900! Saa zilijengwa na kuwekwa kati ya miji zikifata majira hayohayo (GMT)!! Sasa sayans ilikua juu kidogo na zilikua zikirekebishwa kwa kutumia mzunguko wa dunia na kwa kuangalia nyota za angani!! Baada ya radio kuundwa ikawa rahisi zaidi kuwataarifu watu muda na ikaendelea from there ikagundulika atomic clocks, the most accurate clocks ever built watu wakaacha kufata mzunguko wa dunia na kufata hizi saa!! Blah blah blah mpaka tulipo sasa!! I was very fascinated nlipokua naona haya mambo!!
SUNDIALS, saa za zamaaaani za kutumia jua!
.
MPIRA ULIOKUA UKIANGUKA AT 13:00GMT
.
SAA ZILIZOKUA ZIKIWEKWA MIJINI, SASA NI MAKUMBUSHO IN LONDON, GREENWICH
.