wauza maneno hao hawana lolote ina adhari gani!!Tani 4 imetengenezwa na nini hasa?
Wazungu hawanaga dogo eti saa inazimwa nayo ni habari
wauza maneno hao hawana lolote ina adhari gani!!
hawa wajinga wangekuwa wana tengeneza wao saa tu wangetuambia saa zote zinaitajika kuzimwa ili warekebishe mstari wa ikweta!!
wakisha vaa suti huwa wana sema lolote unacheza nao nini!Tehe!, wenzetu wana umakini kwenye kila kitu chao ndo maana wako mbele..
Una maneno weye lakini, eti warekebisha mstari wa Ikweta...lol
Sent using Jamii Forums mobile app