wansawa JF-Expert Member Joined Oct 11, 2020 Posts 857 Reaction score 858 Aug 21, 2021 #1 Jamaa kanipotezea usingizi wangu bure. Raund zote tisa ni majanga matupu, mangumi ya kumwaga,sijui kama nitaangalia tena pambano la yule.
Jamaa kanipotezea usingizi wangu bure. Raund zote tisa ni majanga matupu, mangumi ya kumwaga,sijui kama nitaangalia tena pambano la yule.
financial services JF-Expert Member Joined May 17, 2017 Posts 18,204 Reaction score 43,596 Aug 21, 2021 #2 Hee pole mkuu, ungeingia ulingoni kutoa japo assist ,utolewe ngeu😂
Amehlo JF-Expert Member Joined May 8, 2019 Posts 10,941 Reaction score 31,906 Aug 21, 2021 #3 wansawa said: Jamaa kanipotezea usingizi wangu bure. Raund zote tisa ni majanga matupu, mangumi ya kumwaga,sijui kama nitaangalia tena pambano la yule. Click to expand... [emoji3][emoji3]pole sana
wansawa said: Jamaa kanipotezea usingizi wangu bure. Raund zote tisa ni majanga matupu, mangumi ya kumwaga,sijui kama nitaangalia tena pambano la yule. Click to expand... [emoji3][emoji3]pole sana