bishontongo
JF-Expert Member
- Nov 3, 2016
- 239
- 223
Nyie ndo mnapenda kulelewa na kuamia kwa akina dada atimae siku na siku unafukuzwa kama paka ! Mie sna muda muchafu kama unavyo fikiri ila naongelea nayo yaona yanatokea unafikiri akiongea mtu basi yamemkuta pole sana dogo.Sasa unataka alipie nini hapo?,hiyo wine,chakula na taulo ulillompa,wewe ukienda kwake ukapewa vitu kama hivyo hua unalipishwa?,hivi beijing mlikwenda kulilia nini?,si usawa?,acha uisome number,huu ndio usawa wa beijin
No naona vijana wazaririswa sana yani ila kwa mwanaume anae jitambua hawezi fanya hivyo anakuwa anajua wajibu wake.Mkuu kulikoni??? Mbona umeandika thread kwa maneno makali?? Kipi kimekupata...??[emoji151] [emoji151] [emoji151] [emoji151] [emoji149] [emoji149]
Pole sana Mungu atakupa wakwako.Naunga mkono hoja.huu ujinga nilishawai kunikuta,sema miye nilikuwa naudumia kila kitu mpaka mwanaye namlipia na ada kwa single momy,duh yaliyonkuta ni siri yangu,nilisepa mwenyewe.
Kama ni kweli ulifanya hayo wewe ulikuwa huna akili[emoji35]Naunga mkono hoja.huu ujinga nilishawai kunikuta,sema miye nilikuwa naudumia kila kitu mpaka mwanaye namlipia na ada kwa single momy,duh yaliyonkuta ni siri yangu,nilisepa mwenyewe.
Kwani jamaa alikaribishwa Na dem kwa SKU kwadhaa au jamaa ndo kahamia kwa dem ndo Huduma kilaskuNo naona vijana wazaririswa sana yani ila kwa mwanaume anae jitambua hawezi fanya hivyo anakuwa anajua wajibu wake.
Sio kulalamika elewa kilicho hongelewa jua wewe mwanaume umeubwa umtunze mke sio mke akutunze wewe. Basi kama haujifunzi kafanye ukichokwa ukabalaswa utayakumbuka maneno yangu.mbona na ninyi mnakuja kwetu tunawahudumia hivyo hivyo na unapo ondoka na mshiko juu wakati utamu tumepata wote sasa mnalalamika nini?
Sjafanya kaka nisamehe nistoli tu naziona sorry for thatKama ni kweli ulifanya hayo wewe ulikuwa fala[emoji35]
nyinyi siyo mnatakaka 50/50 sasa mbona mnataka kutunzwa?Sio kulalamika elewa kilicho hongelewa jua wewe mwanaume umeubwa umtunze mke sio mke akutunze wewe. Basi kama haujifunzi kafanye ukichokwa ukabalaswa utayakumbuka maneno yangu.