Sio rahisi kufa ila kuchanika kinyeo huwa ni very prone, hata hivyo kwa wewe haijaishia hapo sababu umeweka gundi nyingi sana tumboni kwa ngano nyeupe ulokuwa ukiila. Cha muhimu kula sana mboga mboga za majani na matunda hasa parachichi na mapapai pia kula sana kachumbari.