Nifah Platinum Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,417 Reaction score 82,368 Nov 1, 2015 #1 Nauza s3 yangu kwa wale mafundi simu wanaohitaji vifaa. Simu iko katika hali nzuri, kioo ni kizuri hakina scratch. Bei ni laki 1,kwa mawasiliano zaidi nicheki PM. Picha zake hizi hapa chini
Nauza s3 yangu kwa wale mafundi simu wanaohitaji vifaa. Simu iko katika hali nzuri, kioo ni kizuri hakina scratch. Bei ni laki 1,kwa mawasiliano zaidi nicheki PM. Picha zake hizi hapa chini
wembeee JF-Expert Member Joined Jan 16, 2015 Posts 2,708 Reaction score 1,362 Nov 1, 2015 #2 Picha aifunguki kamanda nifah
Nifah Platinum Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,417 Reaction score 82,368 Nov 1, 2015 Thread starter #3 wembeee said: Picha aifunguki kamanda nifah Click to expand... Nicheki pm nikutumie kupitia wasap.
Savimbi Jr JF-Expert Member Joined Sep 23, 2011 Posts 6,818 Reaction score 9,193 Nov 1, 2015 #4 Kwanini mafundi simu? Nikitaka kutumia hainifahi au haiwaki?
wembeee JF-Expert Member Joined Jan 16, 2015 Posts 2,708 Reaction score 1,362 Nov 1, 2015 #5 nifah said: Nicheki pm nikutumie kupitia wasap. Click to expand... 0768422758 Nicheki whatsap
Nifah Platinum Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,417 Reaction score 82,368 Nov 1, 2015 Thread starter #6 Savimbi Jr said: Kwanini mafundi simu? Nikitaka kutumia hainifahi au haiwaki? Click to expand... Inawaka lakini haifanyi kazi mkuu. Imekufa inatakiwa kununulia mother body sasa mimi naona bora niiuze hivyo hivyo kamanda wangu.
Savimbi Jr said: Kwanini mafundi simu? Nikitaka kutumia hainifahi au haiwaki? Click to expand... Inawaka lakini haifanyi kazi mkuu. Imekufa inatakiwa kununulia mother body sasa mimi naona bora niiuze hivyo hivyo kamanda wangu.
Nifah Platinum Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,417 Reaction score 82,368 Nov 1, 2015 Thread starter #7 wembeee said: 0768422758 Nicheki whatsap Click to expand... Poa nakucheki.