π₯ S2KIZZy, KIMBUNGAAA NA SIMU ZISIZOPOKELEWA! ππ
Wanajamvi, kuna mambo mengine ukikaa kimya unakosa haki ya kucheka! π€£π€£
Kimbungaaa kaingia kitaani kwa kasi ya radi, lakini ukimpigia S2KIZZy simu, ghafla anakuwa kama namba ya huduma kwa wateja iliyofungwa! ππ΅
Simu inaitaβ¦ inaitaβ¦ mpaka vocha yenyewe inachoka! ππ
S2KIZZy, ndugu yangu, tunakutafuta kwa amani! ππ
Kama uko bize sema, kama uko usingizini sema, na kama umeamua kuhamia sayari nyingine tupe hata coordinates zako! π€£π€£
Maana Kimbungaaa akitoweka tunajua ni mambo ya dunia, lakini wewe usipopokea simu tunaanza kujiuliza kama laini yako inaishi maisha ya kujitegemea! ππ₯
WANJAMVI, HUYU S2KIZZy ANAPATIKANA KWA SIMU AU NI LAZIMA TUOMBE MIUJIZA? πππ΅