Mdeke_Pileme JF-Expert Member Joined Aug 24, 2013 Posts 1,599 Reaction score 2,248 Dec 30, 2013 #1 Natanguliza salamu kwanza wakuu! kwa wanao jua chuo cha st aggrey hapo mbeya naomba mnisaidie kama kimesajiliwa NACTE.
Natanguliza salamu kwanza wakuu! kwa wanao jua chuo cha st aggrey hapo mbeya naomba mnisaidie kama kimesajiliwa NACTE.
paparazzi JF-Expert Member Joined Sep 28, 2013 Posts 572 Reaction score 145 Dec 30, 2013 #2 Ni chuo, shule au chool...???
Mdeke_Pileme JF-Expert Member Joined Aug 24, 2013 Posts 1,599 Reaction score 2,248 Dec 30, 2013 Thread starter #3 Ni chuo kwa mambo ya laboratory techncian&clinical nursing
B BGG Senior Member Joined Apr 5, 2012 Posts 134 Reaction score 15 Dec 31, 2013 #4 Kimesajiliwa na nacte kwa kozi ya maa bara na clinical med
Mdeke_Pileme JF-Expert Member Joined Aug 24, 2013 Posts 1,599 Reaction score 2,248 Jan 8, 2014 Thread starter #5 BGG said: Kimesajiliwa na nacte kwa kozi ya maa bara na clinical med Click to expand... application form kwa mwaka 2014 hutolewa mwezi gani?
BGG said: Kimesajiliwa na nacte kwa kozi ya maa bara na clinical med Click to expand... application form kwa mwaka 2014 hutolewa mwezi gani?
chakii JF-Expert Member Joined Sep 15, 2013 Posts 21,533 Reaction score 28,282 Jan 8, 2014 #7 Lukas4 said: Natanguliza salamu kwanza wakuu! kwa wanao jua chuo cha st aggrey hapo mbeya naomba mnisaidie kama kimesajiliwa NACTE. Click to expand... kimesajiliwa mkuu nenda kapige kitabu
Lukas4 said: Natanguliza salamu kwanza wakuu! kwa wanao jua chuo cha st aggrey hapo mbeya naomba mnisaidie kama kimesajiliwa NACTE. Click to expand... kimesajiliwa mkuu nenda kapige kitabu
Mbugi JF-Expert Member Joined Jan 7, 2011 Posts 1,488 Reaction score 258 Jan 8, 2014 #8 Lukas4 said: Natanguliza salamu kwanza wakuu! kwa wanao jua chuo cha st aggrey hapo mbeya naomba mnisaidie kama kimesajiliwa NACTE. Click to expand... kimesajiliwa mkuu na mitihani ni ya wizara
Lukas4 said: Natanguliza salamu kwanza wakuu! kwa wanao jua chuo cha st aggrey hapo mbeya naomba mnisaidie kama kimesajiliwa NACTE. Click to expand... kimesajiliwa mkuu na mitihani ni ya wizara
A ALOYCE NOMBO Member Joined Jan 1, 2014 Posts 5 Reaction score 0 Jan 12, 2014 #9 Website yao vp haipatikan?