Eti omba omba kutoka Congo na UG?

Hebu leta ushahidi wa madai yako na hizo takwimu zako za 90%.

Kama kawa ukiwa cornered huwa unaanza kujitungia hadithi za ajabu ajabu. Mimi sijaona hata siku moja mkongomani au mbaganda mmoja akiomba omba nchini Kenya. Siku nitakaposikia 'saidia saidia kwasababu ya maprobleme na complicasio' au 'Ssebo givu me twente shilingsi' nitatoa noti kubwa, tena fasta.

Siku hizi hata lafudhi za kikenya huwa ni ngumu kuzisikia. Kila kona ni 'kaka kaka nisaidie na hela, 20 tu'.