Rwanda's fury over Hollande's 'patronising stance'

Rwanda's fury over Hollande's 'patronising stance'

images


Jeshi la rwanda hivi karibuni limenunua siraha za kisasa kama unavyoona hapo juu........LOL

Siraha za kisasa na post iliopo vinahusiana vip? mbona mpo kishar shari hivi mjuavyo mnamtisha nan na hayo masilaha yenu!
 
Eh jMali umefufuka? Mi nilifikiri ule ushauri wangu umeutilia maanani! Kumbe bado ulikuwa bado unaskilizia zile za mbavu tulizokupa... Mbona unamnukuu dada yetu bila kumnukuu basha wako hollande?
Au ni zile njama zenu kama kawaida za kutaka tuonekane kama vile wehu? Nsha kuambia mara nyingi, serikali yetu ni kama nyingine zote ila hatupendi dhalau na hatupendi kujidhalaulisha, tena ukumbuke ya kwamba sio dada yetu peke yake aliyempa makavu hata Raisi mstaafu wa Burundi Buyoya naye alimpaka vilevile!
Yule jamaa wako anayetaka kuwarudisha na umaruhuni wenu alisema hivi
Nina mnukuu:
"Je suis venu à Dakar pour dire aux Africains"
Translation: "nimekuja Dakar(Senegal) kuwaambia waafrica"
What is your take on his choice of words? I need your answer before I go too far than what "our sister" did.

(Hapo kwenye RED) najua unajua kuwa watu wanajua kuwa hakuna tofauti kati ya Paul Kagame, Mushikiwabo na Major Buyoya, lakini unataka kuuaminisha umma kuwa kwakuwa Buyoya amesema, basi the other world has similar opinions to Kagame et al,!!!!????. Buyoya ndiye mister mind wa maovu ya Rwanda na uovu wanaofanyiwa wakongoman, to mention a few.
 
Mkuu waafrika waliozoea kutawaliwa from European capitals wataona majibu ya mushikiwabo kama ni jeuri...wale wanaotaka kujitawala watoana kama huyu mama kawasemea. Its up to you which one of the two you want to be. Life is about choices. You choose to be a mtumwa or independent, self-reliant etc.

majibu yenu ya dharau hayafuti ukweli kwamba kungangania madaraka ni kubaya na kutaishia kwa revolution, kwan huko rwanda hakuna mtu mwingine mpaka kagame? kama vipindi vyake vya kikatiba vimeisha aaachie ngazi zile zama za kubaki madarakan kama ufalme zimeisha kagame amechelewa sana!!!
 
majibu yenu ya dharau hayafuti ukweli kwamba kungangania madaraka ni kubaya na kutaishia kwa revolution, kwan huko rwanda hakuna mtu mwingine mpaka kagame? kama vipindi vyake vya kikatiba vimeisha aaachie ngazi zile zama za kubaki madarakan kama ufalme zimeisha kagame amechelewa sana!!!

Bora kua na mfalme anayeongoza nchi vizuri zaidi ya marais wanao jichagua tena wezi..subiri mwaka huu atakaye teuliwa na ccm kama mgombea wa urais lazima ashinde mpende au msipende..je hiyo ndio demokrasi???waafrika bwana!bado tunahitahiji utawala ulio na nguvu zakuweza kuweka mambo sawa kabla hatujaingia katika hiyo demokrasi ya wazungu bila hivyo mtakalia kuweka majizi yakibadilishana na kujidanganya eti hiyo ni demokrasi..angalia china wanautawala wa mkono wa chuma ndio maana sasa wako juu kiuchumi,sasa hebu acheni rwanda ni yawanyarwanda wanajua walitakalo.
 
Back
Top Bottom