Rwanda's fury over Hollande's 'patronising stance'

Sikubaliani na alichokisema Presida wa Ufaransa lakini pia sikubaliani na propaganda zenu ndugu zangu wa Rwanda. Hashike tuvyemele khuko bili, umwanya wa kagame wurakwiye na gende neza abisire abandi abhashingantahe nabho tubarorere. Ngayo uragira umwami

Ndio maana tanzania mtabaki kulia...kama mngepata kiongozi madhubuti kama pk msinge kubali aende nakwambia hizo nidemokrasi za ulaya si afrika,sisi waafrika tunahitaji mtu wakutu manage kama kampuni na manager mzuri haondolewi,sasa hayo ya kuiga ndio hilo tatizo lenu kilasiku mnachagua kiongozi mihula miwili anatika ameiba mali za wananchi,safari ijayo mnachagua mwizi mwingine naye hayo hayo...lakini sioni ajabu kwa tanzania kupeana awamu za kuiba lakini usiniambie ni uongozi,uongozi uko rwanda bwana.
 
Kwamengine sipo Rwanda ila kwa hili kiukweli nawapongeza Rwanda kwa msimamo, unajua hawajamaa wana tudharau mno na wamesha ona kila watakalo wao lazima Africa tufuate, suala la kiutawala kila nchi yapaswa ijipangie wenyewe mtu kama wameridhika nae wananchi nyie inawahusu nini?
 
Mkuu wewe uko sawasawa, nakubaliana na wewe maana japo ukweli ni kuwa waafrika hatutakiwa kupangiwa jinsi ya kijiongoza lakini pia viongozi wetu ni wabinafsi mno kiasi kwamba ukweli unaposemwa wanan'gaka utafikiri paka anashambuliwa na mbwa. Hollande anaweza akawa amekosea ktk matumizi ya lugha na ni wazi kabisa kuwa Hollande kama walivyo viongozi wengine wa mataifa yaliyoendelea ana interests zake, lakini content ya hotuba yake yuko sawa. Viongozi wa kiafrika wanasubiri wananchi wachome bunge na vurugu zingine ndio waondoke. Naelewa kwa ile hotuba ni lazima Serikali ya Rwanda ipige kelele maana Kagame pia ni mmoja wa walengwa. Na huko burundi Buyoya naye alilazimishwa kuondoka madarakani otherwise alitaka afie madarakani, kwahiyo hao wawili japo wanajifanya kutetea heshima ya waafrika lakini wanafanya hivyo wakiwa na ajenda binafsi. By the way mie nilijua Rwanda imejitoa ktk nchi zinazoongea kifaransa kumbe bado imo. Basi inawezekana baada muda watarudi kwenye matumizi rasmi ya kifaransa.

mkuu uko sawa kabisa:
1. kinachowaunganisha buyoya na mushikiwabo ni kabila lao la ututsi nothing else. Buyoya ashakuwa the longest serving president of Burundi. No wonder ana-support mtutsi mwenzie kagame awe hivyo hivyo!
2. Kimsingi Rwanda ni franchophone, majority ya wananchi wake wanazungumza kifaransa, hii habari ya english aliileta kagame na RPF wake kutoka nje ya Rwanda ili WAO waweze kuongoza (being english speakers from diaspora...uganda, tanzania, kenya...). Ni kama vile wasomali wa magomeni wasiojua kisomali waende somali halafu watake kuongoza nchi kinguvu, haitawezekana, hivyo itabidi wajifanye kubadili lugha ya nchi nzima iwe kiswahili kwa visingizio mbalimbali...., sasa kitendawili kinakuja kuwa officially wao ni anglophone, lakini wananchi bado for all intents and purposes ni francophone, inabidi tu nchi iwe ndumilakuwili!

http://www.cidcm.umd.edu/mar/chronology.asp?groupId=51601
 
MAR | Data | Chronology for Hutus in Burundi

jmali kweli wewe umeishiwa kabisa...kifaransa utakitumia wapi sikuhizi katika dunia hii??? lugha ni kiingereza na lugha yako...kama unataka kufanya business nje ya rwanda itabidi ujue kiingereza hata hao wafaransa wanajifunza kiingereza,hii ni kwafaida ya wanyarwanda,kifaransa hakilipi sikuhizi.....sasa ndio maana rwanda iko east afrika..na simuda mrefu wanyarwanda watahimizwa kujifunza kiswahili nalo utalipinga?? achana nahao wafaransa wameisha shindwa kuifanya lugha yao strong ndio maana wanapoambana ili warudishe serikali ya materahamwe ili kifaransa kirudi..na kwahilo wasahau kabisa.
 
Kiongozi akiongoza vizuri wakati wa muhula wake kama kweli wananchi wanayaona hayo mazuri lazima katiba ibadilishwe aongezwe muhura siyo hayo ya ufanye vizuri au vibaya wakati ukifika uondoke,wananchi ndio wenye uamuzi kama wataamua pk kuendelea mimi sioni tatizo lolote...ahahahha hawa wafaransa pk amekua mwiba kwao wamejaribu njia zote za kumuondoa wameshindwa sasa eti wana support vurugu katika afrika ahahaha hilo walisahau mnyarwanda hawezi ingia katika upuuzi huo... wameisha elimika kisiasa wanajua kiongozi wamtakaye siyo hao wa ku import kutoka ulaya.
Ndugu Mukamasimba Katiba sio Memorandum of understanding ni mkataba. Mkataba haubadilishwi kirahisi hivyo, mtu hawezi kusema tubadili katiba kwasababu kiongozi amefanya vizuri maana hakuna kipimo cha uzuri wa kiongozi kinachokubalika na jamii nzima. Na kama baadhi ya watu wanaona ni sahihi kubadili katiba ili kumuongezea muda rais anayefanya vizuri, mbona sijasikia pia viongozi wa kiafrika wakijadili kubadili katiba kumpunguzia muda rais anayefanya vibaya? Halafu kubadili katiba kwasababu eti wengi wanasema rais ni mzuri inaondoa kabisa maana ya demokrasia, isipokuwa kama 100% watakuwa wanasema rais ni mzuri. Kama kuna wachache wanasema rais sio mzuri ina maana haki yao ilitakiwa ilindwe na katiba sasa inapotokea hiyo katiba inakanyagwa ovyo na walio madarakani ina maana hawa wachache wanakuwa hawana nafasi. Vinginevyo nchi iamue kuwa na katiba isiyo na kikomo cha uongozi hapo itakuwa sawa lakini sio kubadili katiba kulingana na mtu anayekuwa madarakani, hiyo ni dhambi kubwa ambayo hata isipoonesha madhara leo yataonekana baadaye hata kwa wajukuu wenu labda mniembie hamna mpango wa kuendeleza kizazi.
 
Ndugu yangu natakanikwambie kitu kimoja hawa jamaa wa ulaya wanachoangalia ni masilahi yao kama huwatimizii wao watafanya juu chini uondoke lakini ukitimiza yao hutasikia makelele angalia kuhusu kabila joseph juzi walipiga makelele ili asibadilishe katiba lakini nauhakika ameisha wakatia kitu kido utaona safari hii anaendelea kuingoza DRC bila kelele...mimi ninacho ungamkono ni kwamba katiba ni yawananchi wanauwezo wa kuibadilisha na sio lazima 100% nafikiri katika nchi yoyote lazima kutakuwepo vigezo vya kiongozi mzuri na wananchi wenyewe wanaweza kukuambia.
 
Mi kama kuna plot huko mnipm nkanunue, nkaish kwenye kijan kibich,folen had kuingia kwenye daladal si nyie mnapita dirishan, hard working people, good dressing, preserving culture, laptops since primary, disciplined bodaboda, there no escrow, kigodoro,giraffe in aeroplane, leaders like chenga & tiba, no results as taifa staz achieve. Etc
 
hapo kwenye red umenigusa kweli kweli. Cha ajabu ni kwamba wote ambao hutaka kuongeza muda wa uongozi huwa actually walitakiwa kupunguziwa.
 
Kabla hujaenda uliza kwanza hawa wanyarwanda wa operesheni kimbunga, ilikuwaje hayo mazuri uliyoyaandika wayakimbie waje bongo kwenye msoto? na hii ilikuwa mwaka jana 2013 sio 1994!! kwa nini watoto wanaachishwa laptop mashuleni kwao huko wanakuja kukaa chini st. kayumba? ahahahahahha:becky:.

source:IOM aids Rwandan returnees from Tanzania - International Organization for Migration
 
jmali kweli wewe umeishiwa kabisa...kifaransa utakitumia wapi sikuhizi katika dunia hii??? lugha ni kiingereza na lugha yako...kama unataka kufanya business nje ya rwanda itabidi ujue kiingereza hata hao wafaransa wanajifunza kiingereza,hii ni kwafaida ya wanyarwanda,kifaransa hakilipi sikuhizi.....sasa ndio maana rwanda iko east afrika..na simuda mrefu wanyarwanda watahimizwa kujifunza kiswahili nalo utalipinga?? achana nahao wafaransa wameisha shindwa kuifanya lugha yao strong ndio maana wanapoambana ili warudishe serikali ya materahamwe ili kifaransa kirudi..na kwahilo wasahau kabisa.

wewe ndio umeishiwa. Kwenye mkutano wa wazungumza kifaransa Rwanda ilifuata nini? kifaransa si unasema hakina dili? Na wafaransa si mnasema ndio wafadhili wa interahamwe? yalishakwisha? Hebu jiheshimu wewe, Rwanda inaganga njaa period! Mlijifanya kufuta kifaransa na ku-embrace english mlipokuwa na fedha za madini ya wizi ya DRC, baada ya JWTZ imewakatia mirija, inabidi muanze kujikomba komba kwa wale wale mliokuwa mnawatukana....kesho mtatuomba chakula nyinyi sisi tunawacheki tu, waulizeni wakenya walivyotuomba mahindi hali wao ni middle-class country!
 
Kwa hiyo Rwanda nzima kichwa ni PK tu...akifa inakuwaje? sioni justification ya mtu kufia ofisini katika karne hii ya 21...ni ubinafsi tu period...

Na hata uwe mzuri vipi uki overstay utachokwa
 
hapo kwenye red umenigusa kweli kweli. Cha ajabu ni kwamba wote ambao hutaka kuongeza muda wa uongozi huwa actually walitakiwa kupunguziwa.
Ni kweli Jmali viongozi wazuri mara nyingi hawatamani kuongeza muda, wale walio na maslahi binafsi ndio huangaika kuyalinda na hawamwamini mtu. We jiulize mtu kama ana uchungu na nchi na anajua kuna kufa kwanini asijitahidi kuweka mifumo mizuri halafu akae pembeni ili ashuhudie mifumo inavyofanya kazi? Lakini kiongozi anakuwa king'ang'anizi utafikiri Mugabe ambaye sasa ameamua kufia madarakani na anataka hata akifa mke wake achukue nchi bila kujali uwezo wa huyo mwanamke ambaye kimsingi alikuwa mke wa mtu na alikuwa secretary wake.
 
Ndugu yangu natakanikwambie kitu kimoja hawa jamaa wa ulaya wanachoangalia ni masilahi yao kama huwatimizii wao watafanya juu chini uondoke lakini ukitimiza yao hutasikia makelele angalia kuhusu kabila joseph juzi walipiga makelele ili asibadilishe katiba lakini nauhakika ameisha wakatia kitu kido utaona safari hii anaendelea kuingoza DRC bila kelele...mimi ninacho ungamkono ni kwamba katiba ni yawananchi wanauwezo wa kuibadilisha na sio lazima 100% nafikiri katika nchi yoyote lazima kutakuwepo vigezo vya kiongozi mzuri na wananchi wenyewe wanaweza kukuambia.
Hapo ndipo penye tatizo kubwa kwa nchi za kiafrika. Kawaida ilitakiwa kuwe na vigezo vya kiongozi mzuri lakini Afrika hakuna nchi yenye vigezo vya kiongozi mzuri halafu vikazingatiwa. Ukiangalia trend mpaka sasa wote wanaohangaika kubadili katiba ili kumuongezea rais "mzuri" muda wa kutawala ni aidha walichukua madaraka baada ya kupigana vita vya msituni! au mapinduzi ya kijeshi mfano Uganda, DRC, Rwanda, Burundi, Burkinafaso (ameshaondolewa) na Chad. Lakini bahati mbaya kwa waafrika ni kuwa hata ktk nchi ambazo katiba haibadilishwi bado vigezo havifuatwi, kuna zile ambazo mitandao ndio inawaweka viongozi wabovu na wazuri wanawekwa pembeni mfano Tanzania, Kenya, Ghana, South Afrika, Zambia, Malawi n.k Kuna zile nchi ambazo zimeamua kuondoa bughudha ya kikomo cha uongozi, hawa wameamua kuishi chini ya mfalme anayeitwa rais Ethiopia, Eritrea, Zimbabwe, Angola,Sudan, Cameron, Gabon, Equatorial Guinea n.k. Kwahiyo ukiangalia utaona Waafrika tuna matatizo makubwa na Wazungu wana maslahi yao lakini ili wapate maslahi yao wanaamua kusema ukweli pale wanapoona watapata maslahi, bahati mbaya viongozi wetu wanapinga ukweli unaosemwa ili waendelee kutawala. Sasa ndio maana mie naona Mushikiwabo na Buyoya walichoongea ni kwa maslahi yao na si kwa maslahi na heshima ya waafrika kama walivyojipambanua. Heshima ya waafrika itakuja baada ya viongozi wa kiafrika kujifunza na kukubali kukosolewa na kukubali ukweli halafu watakapo kuja na agenda ya maendeleo ya waafrika itakayokuwa inaingalia Africa ya miaka hata mia mbili ijayo. Tukiendelea kuwa na viongozi wanaohodhi madaraka na kuwinda wapinzani tutabaki watumwa wa dunia miaka nenda rudi na tusipoangalia hii oder ya dunia iliyopo ikivurugika usishangae kuna race itakuja na wazo la kuterminate kizazi cha waafrika na wakafanikiwa.
 
images

Jeshi la rwanda hivi karibuni limenunua siraha za kisasa kama unavyoona hapo juu........LOL
 
Back
Top Bottom