Rwandan intelligence assassins mission was to kill the entire family

General Mboma mbabe sana! Hata akiongea issues za kawaida ni kama ana Command hivi!! Yule ni mwanajeshi haswa!
 
Binadamu jamani ni madaraka tu au anataka damu yao alie mkate...hivi yeye ameambiwa anaishi milele...hana hadhi ya kuitwa baba na kichwa cha familia wala nchi maana anawatafutia wanae laana ya milele kwa tamaa zake..Mungu amuone na amrehemu

kunareport ilitolewa na umoja wa mataifa kama sikosei ikiitaja SA kati ya nchi hatari kabisa duniani ikiwa haijaachwa mbali na Afghanistan
 
AfroAmerica Network!!!!! Please hawo wanajulikana ni akina nani....correspondent wao hapo bongo ni jamaa mmoja anajiita Jmali. Read this with a pinch of salt. Halafu wananichekesha eti wana quote source "within General Paul Kagame's inner circle"...hahahaha vitimbwi.

kwa hiyo ni uwongo tu anazushiwa raisi wenu muuaji PK?
 
Hiyo achezee tu SA akijaribu Tz atashangaa.

Wakati Mboma akiwa CDF,Kagame alikuwa akiuua raia wake huko na kuwatupa mto Rusumo maiti zikawa zinakuja Tz,Mboma alimpigia simu Kagame na kumpa masaa 24 akamwambia akiona maiti from Rwanda kuja Tanzania via mto Rusumo basi yeye hatasubiri amri ya Mkapa sa president atakwenda direct Kigali kumshikisha adabu.

Huwezi amini mkwara huo wa Mboma ulimuogepesha sana PAKA na hakuna mwili tena ulukuja kwa mto.

Na ukitaka kuona PAKA anavyoiogopa TZ basi Kikwete amteue Mboma kuwa balozi wa Tz huko Rwanda.
Wewee! Na yule Kiongozi wa FNLR aliyetekwa Kigoma akiwa anarudi nyumbani kwake na akapelekwa Kigali, Je mliweza kuzuia? Au hujui mambo yanayoendelea we acha tu!
 
AfroAmerica Network!!!!! Please hawo wanajulikana ni akina nani....correspondent wao hapo bongo ni jamaa mmoja anajiita Jmali. Read this with a pinch of salt. Halafu wananichekesha eti wana quote source "within General Paul Kagame's inner circle"...hahahaha vitimbwi.

mpo uchi kenge nyieeee
 
mpo uchi kenge nyieeee

we endelea kula vya ukimbizini tu. Huna lolote. You will never come back. Never. Waliotaka kurudi wamesharudi. Nyie wenye damu mikononi hamtakaa mrudi kamwe. Waambie kizazi chako wasahau kabisaaaa! Meli imeshaondoka.
 
Mungu hawezi kusikiliza sala zako wewe, labda shetani. Damu uliyonayo mikononi itakuandama mpaka kaburini. Najua hulali wewe na nightmare za watoto na wanawake ulioua. Utaandamwa mpaka kufa.

hakika usilolijua ni kama usiku wa giza nene.
 
hakika usilolijua ni kama usiku wa giza nene.

Kuhusu wewe! Sitaki kujua chochote juu yako. Ninachojua ni kwamba asilimia mia kwa mia, wewe ulikimbilia tanzania baada ya mauaji ya 94. Uhakika huo ninao. Nyie tunawatafuta na tutaendelea kuwatafuta mpaka nyote msimame mbele ya mahakama mjibu mashtaka ya mauaji ya kimbari.
 
ibilisi kagame tena, MUNGU tusaidie tumkomeshe!

Mimi nikiangalia humu jinsi watu wanavyo mshambulia pk nahisi si kwasababu ya udikteta bali ni kwasababu ni mtusi tu,wengi wanao jaribu kumsema vibaya ni wahutu waliokimbilia tanzania wenye damu za watusi,kwangu mimi hao watu walichelewa kufa kwani mipango yao si salama wanataka pindua serikali kwa mtutu,sasa unafikiri niwakuishi hao,kwani nawao iliwafikie lengo lao lazima wataua,sasa msianze kupiga kelele ni wenyewe wanelikologa sharti walinywe.
 
Mwaka huu interahamwe mtapiga kelele mkitegemea huruma ya watanzania na south afrika lakini ninacho waambia msitegemee mabadiliko yoyote kwani sioni nchi yoyote ambayo inaweza kusimama mbale ya RDF mtakalia majungu tu,nitakupiga mara mshikeni jamani damu isiwamwagikie!hayo ndiyo mnaweza tu,sijaona rais jasili kama pk,watu wote wanaotaka kurudi kumwaga damu za wanyarwanda lazima wazuiliwe kabla ya kuleta madhara kwa wanyarwanda,bora kinga kuliko kuponya.
 
Hiyo achezee tu SA akijaribu Tz atashangaa.

Wakati Mboma akiwa CDF,Kagame alikuwa akiuua raia wake huko na kuwatupa mto Rusumo maiti zikawa zinakuja Tz,Mboma alimpigia simu Kagame na kumpa masaa 24 akamwambia akiona maiti from Rwanda kuja Tanzania via mto Rusumo basi yeye hatasubiri amri ya Mkapa sa president atakwenda direct Kigali kumshikisha adabu.

Huwezi amini mkwara huo wa Mboma ulimuogepesha sana PAKA na hakuna mwili tena ulukuja kwa mto.

Na ukitaka kuona PAKA anavyoiogopa TZ basi Kikwete amteue Mboma kuwa balozi wa Tz huko Rwanda.

Mkuu hii naikumbuka sana, ndio maana huwa nasema wanaosema kuwa Genicode ya Rwanda ilikuwa ni mauaji ya watutsi peke yao, hii inafaa kuwadanganya wale ambao ni "misinformed", "not thinking in a right way" an ambao hawakuweopo kuondoa miili iliyokuwa inaliwa na Sangara mto Kagera. Ni kweli RP Mboma alimpigia simu Kagame baada ya Millitary Intel kusema kuwa kulikuwa na premeditated murders in the name of stopping genocide na kudispose miili Kagera. Mwenye kubisha na abishe.
 
Huyu Gen PK ana roho ya kishetani, inabidi Rwanda waombe Mungu awaponye na roho ya mauwaji.!!
Bwn awape roho ya masamaha, na upendo , Vinginevyo umwagaji damu utazidi kuendelea!!
Ehee Bwn Mungu wakomboe ndugu zetu Wanyarwanda na roho ya umwagaji damu ndani ya viongozi wao hasa PK. Amina!!
 
Back
Top Bottom