Rwandan dissident in Belgium warned of suspected targeted attack

Lol...hao ndio anti-kagame club. muombe ring leader wenu jMali akupige msasa kidogo halafu urudi hapa.

Do you think this platform is special for learning good english? umebugi man. Hapa tunashusha nondo tuu. Go straight to the issue, don't take advantage of correcting others grammar, while bypassing the issue we are talking about.
 
Kagame is the medern Hitler, why do people let him free? Pay people so they can deal with him.

CCM ni janga la Taifa na ni Saratani, lazima ifutwe.Choma moto wezi haoooo,Weeeziiiiiiii, Weeeziiiiii.Fake people admire fake and weak leaders.KaGAME IS THE GREAT!Unamlinganisha na rais ambaye anaulizwa swali,'' kwanini nchi yako ni ,maskini na ombamba wakati ina kila kitu'' yeye anajibu:'' hata mimi nashangaa'' au unamlinganisha Kagame na mtu ambaye anajiita ''mtoto mwizi na mnafiki wa mkulima'' akibanwa kwa hoja anaanza kulia.Hawa watu ni aibu kwa Tanzania,Afrika na dunia.Aina ya viongozi hawa ni taswrira ya jamii wanayotokana nayo.Aibu gani hii Jamani!Ni zao la MaCCM.Tanzania twende sasa tuchukue silaha ya umoja tuyafute Majambazi haya yanayoturudisha nyuma kimaendeleo, tutaifishe mali za majizi haya kwani yanajulikana,yafilisiwe na kizazi chao chote yafungwe jela maisha au yanyongwe:Fisadi,mnafiki,mzandiki, mwongo, mchawi-Wote ni watu wa kuchoma moto!T uamke mama Tanzania!
 
He is pretending, but still he do not have logical strategies. Hitler was arranging things with sensible reasons where by people were believing his ideas till he accomplish the deal. For Instance, killing the jews all over europe....People from defferent european countries were supporting him and get the jews into the train up to Germany.
Kagame is narrow thinking and using more and more power and threat. By that he will return the Country to the age of 1994 again.
CCM ni janga la Taifa na ni Saratani, lazima ifutwe.Choma moto wezi haoooo,Weeeziiiiiiii, Weeeziiiiii.Fake people admire fake and weak leaders.KaGAME IS THE GREAT!Unamlinganisha na rais ambaye anaulizwa swali,'' kwanini nchi yako ni ,maskini na ombamba wakati ina kila kitu'' yeye anajibu:'' hata mimi nashangaa'' au unamlinganisha Kagame na mtu ambaye anajiita ''mtoto mwizi na mnafiki wa mkulima'' akibanwa kwa hoja anaanza kulia.Hawa watu ni aibu kwa Tanzania,Afrika na dunia.Aina ya viongozi hawa ni taswrira ya jamii wanayotokana nayo.Aibu gani hii Jamani!Ni zao la MaCCM.Tanzania twende sasa tuchukue silaha ya umoja tuyafute Majambazi haya yanayoturudisha nyuma kimaendeleo, tutaifishe mali za majizi haya kwani yanajulikana,yafilisiwe na kizazi chao chote yafungwe jela maisha au yanyongwe:Fisadi,mnafiki,mzandiki, mwongo, mchawi-Wote ni watu wa kuchoma moto!T uamke mama Tanzania!
 
Do you think this platform is special for learning good english? umebugi man. Hapa tunashusha nondo tuu. Go straight to the issue, don't take advantage of correcting others grammar, while bypassing the issue we are talking about.

haya bwana umenishinda..:first::first:
 
CCM ni janga la Taifa na ni Saratani, lazima ifutwe.Choma moto wezi haoooo,Weeeziiiiiiii, Weeeziiiiii.Fake people admire fake and weak leaders.KaGAME IS THE GREAT!Unamlinganisha na rais ambaye anaulizwa swali,'' kwanini nchi yako ni ,maskini na ombamba wakati ina kila kitu'' yeye anajibu:'' hata mimi nashangaa'' au unamlinganisha Kagame na mtu ambaye anajiita ''mtoto mwizi na mnafiki wa mkulima'' akibanwa kwa hoja anaanza kulia.Hawa watu ni aibu kwa Tanzania,Afrika na dunia.Aina ya viongozi hawa ni taswrira ya jamii wanayotokana nayo.Aibu gani hii Jamani!Ni zao la MaCCM.Tanzania twende sasa tuchukue silaha ya umoja tuyafute Majambazi haya yanayoturudisha nyuma kimaendeleo, tutaifishe mali za majizi haya kwani yanajulikana,yafilisiwe na kizazi chao chote yafungwe jela maisha au yanyongwe:Fisadi,mnafiki,mzandiki, mwongo, mchawi-Wote ni watu wa kuchoma moto!T uamke mama Tanzania!
Du! una hasira sana mkuu. Inaonekana na wewe ulikuwa CCM wakakunyima chakula......LOL. Of cause mi siyo CCM, lakini siwezi kukurupuka tu nikasema CCM watolewe. Maana logically sijaona replacement yao. Cha maana tuombe tupate kiongozi bora atakayeosha ndani ya CCM na nje.
 
Lol...hao ndio anti-kagame club. muombe ring leader wenu jMali akupige msasa kidogo halafu urudi hapa.

Wakati mwingine tunashangaza saaana! Inakuwaje some Rwandese can speak/write a very refined English (Queen's English) sisi tunabaki ku-wallow in a mangled English na kutoa visingizio chungu mzima!!! Kwani kuna ulazima wa kuandika Kingereza?
 
Mkuu, hakuna ulazima wa kundika kiingereza..sisi sote hapa tunaweza kusoma na kuandika kiswahili. Tumezaliwa huko na huwa tunakuja huko mara kwa mara. Tuendeleze mdahalo huu kwa lugha ya kiswahili. Na kama kimombo kinapanda, ruksa ila watu wasi "assassinate" hii lugha ya kiingereza.
 
mkuu, hakuna ulazima wa kundika kiingereza..sisi sote hapa tunaweza kusoma na kuandika kiswahili. Tumezaliwa huko na huwa tunakuja huko mara kwa mara. Tuendeleze mdahalo huu kwa lugha ya kiswahili. Na kama kimombo kinapanda, ruksa ila watu wasi "assassinate" hii lugha ya kiingereza.

lazima muje huku mara kwa mara mna maisha ya wasiwasi chini ya huyo vampire with unquenchable thirst for blood akimaliza damu za wahutu anaanza kunywa za watusi na ameshaanza
 
hahahahahahaha! nakuonea sana huruma wewe.
 
Back
Top Bottom