RwandAir scandal: three arrested over disappeared RWF 600M

RwandAir scandal: three arrested over disappeared RWF 600M

mchambawima1

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2014
Posts
2,487
Reaction score
738
2865122.png

Kigali-Rwanda-The national flag carrier airline, RwandAir is in confusion as 600 Million Rwanda francs disappears in a thin air which sources say the money was swindled by the employees of the company by dubious online ticket sells.

Though criminal investigations sources say they are investigating the disappearance of 600M Rwf, RwandAir sources believe that the real amount is unknown and there is a possibility that the money swindled more than the anticipated amount.

Reports indicates that three employees are believed to be held by Police, as one Benjamin Rusagara–has already fled the country abandoning his car at Rwanda-Burundi border after establishing that Police was investigating into the matter.

One female employee was picked by the Police yesterday on allegations of being in the ring that double crosses the national carrier. Investigators now believe that the dubious ticket sells has been going for longtime and all people involved are unknown and the real amount missing is unknown too.

Police spokesperson ACP Twahirwa said he was not aware of the case. As RwandAir head of corporate and communication Patrick Manzi responded to Great Lakes Voice in a vague response saying:"nothing confirmed." When asked about the number of the employees under custody he responded that "Not sure."

Sources in RwandAir intimated to Great Lakes Voice that the company and the Police have widen up the investigation to track the network involved in the scandal.

RwandAir is the national carrier owned 99 percent of the shares by the government of Rwanda and 1 percent is owned by Robert Baigamba who is said to be representing the ruling RPF interests.

Source:
greatlakesvoice
 
Benjamin Rusagara–has already fled the country abandoninghis car at Rwanda-Burundi border after establishing that Police wasinvestigating into the matter.Hayasasa jMali mda si mrefu utapata mfuasi mpya, msaidizane kuandika ubaya waKagame, yani nyie watu mlitakiwa muitwe adui wa Africa na sio Rwanda peke yake.

1. RwandaAir haijawahi kuchapisha mahesabu yake ever! Shirika la umma lisilowasilisha mahesabu yake kwa CAG wala bunge! Nobody knows mahesabu ya Rwandair isipokuwa mkurugenzi pamoja na kagame tu!
2. Serikali inamiliki asilimia 99%, wakati asilimia moja inamilikiwa na Robert Baigamba waziri wa michezo. Huyu ana utajiri gani mpaka amiliki shirika la ndege? Na kama anawakilisha RPF kwa nini hisa ziandikwe kwa jina lake na si la RPF? Au kupitia makampuni ya RPF chini ya Crystal ventures Ltd? Toka lini mtu binafsi akawakilisha chama kizima kwenye biashara na sio nominee shareholder wala nini, ni mtu binafsi kabisa?
3. Shirika lenyewe linajichanganya: linasema limepoteza mil600 rwf, lakini hapo hapo tena linasema halijui limepoteza kiasi gani. Hii inaonyesha hawa watu hawana accounting system inayoeleweka. Utashindwaje kujua umepoteza kiasi gani? Kwani fedha zilikuwa zimewekwa mahala halafu zikaungua kwa moto?
4. Utabiri wangu: pretty soon tutaambiwa huyu "mwizi" pia ana ushirikiano na FDLR, RNC, interahamwe etc,....
 
We acha jMali huna lolote, sema ukweli… povu lote hilo nikwa sababu sera zako za ubaguzi na mauwaji tumeshaziangamiza kabisa.
1)sasa kama Rwandair haijawahi kuchapisha mahesabuuhujumu wameushtukiaje? Au ulitaka wachapishe alafu wakutumie ofisini kwakoJamii Forum?
2)wewe yani sijui double standard utaacha lini, mbonakule kwenye jukwaa la siasa la wabongo huwa unamfagilia Rugemalila ya kuwa etini mwekezaji? Au yeye peke yake ndiye anaruhusiwa kuwekeza, hiyo 1% ndiyoinakutoa macho hivyo? Rwanda ya siku hizi watu wanapesa mjinga wewe.
3) tupe mda, tufanye uchunguzi wetu, alafu tutakutumia JF.
4)utabiri wangu: si mda mrefu mwizi atakuja kuwapa porojompya, tutaanza kumuona kwenye yale magazeti yenu.
 
1. Wewe unajifanya sijui engineer lakini concepts rahisi kabisa unakuwa mgumu kuelewa, i think labda ulisomea kigali. Kampuni kutochapisha mahesabu kwa umma hakuifanyi iwe haina accounting system ndani. Hoja ni kuwa mashirika yote ya umma kama tanesco, dawasco, ATCL etc, yanatakiwa kutoa hesabu zake kwa umma, typically kupitia CAG na bunge. Rwandair haijawahi kufanya hivyo. Mwananchi hajui mpaka sasa whether inapata hasara au faida. Lakini mahesabu anapelekewa kagame as if kampuni ni yake why? Hivi huko Rwanda CAG wenu kazi yake ni nini kama baadhi ya mashirika yako "juu yake"?
2. Rugemalira na Baigamba ni tofauti. Rugemalira alikuwa na private company YENYE MKATABA na serikali. Baigamba ni shareholder mwenza wa Serikali. Je utaratibu gani ulitumika kumfanya Baigamba awe shareholder kwenye kampuni ya umma? Maana hata kama utadai serikali ilitafuta wawekezaji wa ndani baigamba akashinda pia utakuwa muongo wa karne since BAIGAMBA SIO MFANYABIASHARA, na hata angekuwa mfanyabiashara bado ASINGEKUWA NA FEDHA YA KUWEKEZA KWENYE SEKTA YA AIRLINES, tungeshamsoma kwenye Forbes by now.
3. Nawapa muda fanyeni uchunguzi.
4. Utabiri wangu: Still i believe this thing is political, because everybody knows its only kagame that is allowed to steal in Rwanda, i don't believe this chap would dare to steal 600mil francs, almost a $1mil USD if i am correct, huyu lazima atakuwa kapigwa zengwe.
siku hizi ukitaka kumtia mtu hatiani, unatafuta namba za mtu aliye DRC halafu unamuambia ampigie jamaa, jamaa akipokea ataongeleshwa ujinga ujinga, halafu unawapigia kina jack nzinza unawaambia nimesikia jamaa anaongea na FDLR check his phone records.....wakicheki namba za DRC.....kesho jamaa ndani! Huyu jamaa sina shaka sooner or later "itagundulika" alikuwa na "collaboration" with "negative forces" to "distabilize" or "divide" the people of rwanda....:A S wink:
 
Watasema Rwandair ni ya Kagame and it is exclusively Tutsi! Ha ha ha genocidaire mnafurahisha sana. Wengi wenu hamjakanyaga Rwanda for over 20 years lakini kila leo mnamtukana Baba Kagame. Aibu.
 
Benjamin Rusagara–has already fled the country abandoninghis car at Rwanda-Burundi border after establishing that Police wasinvestigating into the matter.Hayasasa jMali mda si mrefu utapata mfuasi mpya, msaidizane kuandika ubaya waKagame, yani nyie watu mlitakiwa muitwe adui wa Africa na sio Rwanda peke yake.

Huyo hajakimbia kakimbizwa na mwizi mwenyewe ambaye bado yuko Rwanda ili kupoteza ushahidi.
Maskini sijui atakuwa mzima au yupo katika lile kundi la waliouawa na kutupwa mtoni.

Hayo magari kutelekezwa ni staili tu za kisanii za kizamani kama zile za dikteta Idd AMINI.Wezi wala sio huyo, huyo katumika tu katika sinema ya kuigiza ionekane kama serikali iko serious kutafuta wezi wakati wezi bado wako kigali wanaendelea kuchonga michongo mingine ya wizi.
Mtu hujiulizi kwa nini mahesabu ya Rwandair huwa hayakagulliwi na kuwekwa hadharani?
 
Watasema Rwandair ni ya Kagame and it is exclusively Tutsi! Ha ha ha genocidaire mnafurahisha sana. Wengi wenu hamjakanyaga Rwanda for over 20 years lakini kila leo mnamtukana Baba Kagame. Aibu.

kama sio ya kagame ni ya nani? itakuwaje kampuni ya umma wakati umma wenyewe hawajui mahesabu yake? Kagame aliwahi kuwa waziri wa defence, vice president na amiri jeshi mkuu ,at the same time. Hivyo sio ajabu when it comes to Rwandair (and who knows what other "public" corporations), he is also the Rwandan version of Tanzanian's CAG and POAC as well, ndio maana mahesabu ya Rwandair anayajua yeye tu and nobody else.
 
Back
Top Bottom