Rwanda air is not a public listed company, why would they publish their financials?
bora rais dikiteta kuliko huyu kucha kutwa kwenye ndege na kucheka cheka
Rais Magufuli amekuletea ndege 10 bado mnamulaumu.Na siye "wenye amani" ya miaka 53 hatuna hata kandege kamoja kakubabaishia. Matrilioni yote ta walipa kodi wezi, wahuni na mafisadi ndani ya Serikali hii iliyojaa wadhalimu wanakwapua na kwenda kuficha nchi za nje. Halafu ukimsifia Kagame wengine wananuna.