Rwanda yatengeneza baiskeli ya mbao

Kwenye maonyesho ya Biashara nchini Rwanda, wengi wameonekana Kuvutia na Ugunduzi huo wa Baiskeli ya Mbao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nghatele fijo! Kwenu Rwanda huo ni ugunduzi wa hali ya juu sana. Vipi, ile hali ya kuwa exporter wakubwa wa madini (dhahabu, bati, nk.) ilhali hamna mgodi hata mmoja huo je, siyo ugunduzi wa hali ya juu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…