Rwanda yapeleka wanajeshi 1000 Msumbiji

Always haters will be there! This is what afticans we want
 
Ni kingereza kigumu ama ??

Maana kinachojadiliwa hakiakisi mada yenyewe.
Huyu ame copy kutoka kwa jamaa anaitwa Himbara ambaye yuko mafichoni huko canada,kazi yake kuponda kila kitokacho Rwanda.
 
Alie kimbia nchi kwa kula ruhwa ilitegea ataandi nini? Huyo anaitwa Himbara!
 
Attachments

  • 210711_AFNWSU_41617488_41617511_80120_114623_en.mp4
    7.5 MB
Magaidi wote wanaosumbua Congo na msumbiji Kuna mkono wa huyu mtu. Na nilijua tu lazima atakwenda hapo msumbiji anasababisha tatizo alafu anajidai anatafuta suluhisho. Yaan asinuse fursa huyu mtu ni shida
 
Kwa hiyo magaidi walioko msumbiji ni yeye ka wa weka?kichwa maji we kweli kweli!
 
Wanajeshi wa SADC wanachelewa,wanatakiwa Waje faster ili kumvurugia PLAN zake huyu jamaa
Nalog off
 
Wanajeshi wa SADC wanachelewa,wanatakiwa Waje faster ili kumvurugia PLAN zake huyu jamaa
Nalog off

Wazee wa mipango mingi,wasaini makaratasi,waitane mh. Waziri karibu ufungue baraza la usalama la Sadc,wakitoka hapo waombe kibali kutoka msumbiji.....Story nyingi vitendo hakuna.
 
Wazee wa mipango mingi,wasaini makaratasi,waitane mh. Waziri karibu ufungue baraza la usalama la Sadc,wakitoka hapo waombe kibali kutoka msumbiji.....Story nyingi vitendo hakuna.
Mpaka muda huu kwa wanachama wa SADC ni South Africa pekee waliopeleka jeshi lao Msumbiji
Nalog off
 
Rwanda hatari sana. Yaani kwa nchi kama Rwanda ambayo kwa eneo ni ndogo sana kuwa na de-ployment ya wanajeshi 1000 ni wengi sana. Nchi ina population ya milioni 13 au zaidi. Lakini ratio ya wanajeshi ni kubwa inaonekana. Inaonekana wanawekeza zaidi kwenye usalama.
 
Ni kingereza kigumu ama ??

Maana kinachojadiliwa hakiakisi mada yenyewe.
Tatizo litakuwa ielewa wa lugha au ukurupukaji wa kujadili kichwa cha habari bila kusoma content. Kuna uwezekano mkubwa hata mwenye uzi wake hauelewi.
 
Kazi inaendelea Msumbiji,Vijana wa Kagame wanasafisha huko.

mozambigue wanamuona kagame kama mwokozi...watajuta. Hiyo damu hawaijui
 
ajenda ya wasouth na huyo jamaa si ajabu ni tofauti kabisa. wacha muda upite utaona
Ni kweli kabisa na waziri wa ulinzi wa South aliwaka sana kwanini Nyusi awaruhusu wanyarwanda kabla jeshi la SADC halijatua Msumbiji!?
Wasouth wana maslahi yao kule na walikuwa wanaishurutisha serikali iwape deal la ulinzi wanamgambo wao,hili liliposhindikana akalazimisha kuwa yeye ndiye awe kiongozi wa wanajeshi wa kigeni wa SADC na wanajeshi wote wa kigeni watakaokwenda Msumbiji.
South Ana lake jambo kule Cabo Delgado
Nalog off
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…