comrade igwe
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 7,295
- 3,950
Katika parade bora ya majeshi Afrika nchi ya Rwanda inaongoza kwa ubora wa parade za kijeshi parade hiyo ni ya mwaka 2017 ikiwemo mbwembwe na vionjo,ushikaji wa vitala na silaha,mbwembwe za vikosi vya wanawake.