Rwanda yachukua hatua kuokoa uchumi

Rwanda yachukua hatua kuokoa uchumi

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,286
Reaction score
10,832
1584619344874.png

1584619368241.png
 
Naona wakopaji wa mabenki wamepata nafuu ya kuomba kuongezewa muda wa kulipa.

Kenya wameshafanya hivyo pia.

Wanao naona wametoa nyongeza ya mwaka mmoja kwa wakopaji wote.
 
Naona wakopaji wa mabenki wamepata nafuu ya kuomba kuongezewa muda wa kulipa.

Kenya wameshafanya hivyo pia.

Wanao naona wametoa nyongeza ya mwaka mmoja kwa wakopaji wote.

Tanzania chini ya CCM wamechukua hatua gani...
 
KAGAME NA MUSEVEN WANAJARIBU SANA KILA KUKICHA KUTEKELEZA MAMBO AMBAYO KWA KWELI YANAONEKANA YATATULIZA TAHARUKI.

MUUMBA WETU TWANAKUOMBA UTUSAIDIE KUTOKANA NA JANGA HILI ZITO.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom