Si tunaongelea kutoa huduma za afya wewe unaongelea mambo ya mbuga ?Mbona hivi vindege hata Seluu vipo
nchi yenyewe ndogo sana drone ya nini ukiwa hata kwenye bone unaweza ukawaona maadui wa rwanda wote ! drone ya nini, any way ni show off za kagame tu hamna jipyaHizo ndege kwa ajili ya KAZI gani? Vita vyao wahutu na watutsi?
Wewe ndiye unaleta blabla, awali ulikuwa hujasema hizo ndege ni kwa ajili ya kazi gani, kuna mtu kakuuliza hizo ndege ni kwa ajili ya kazi gani umejibu "ni kwa ajili ya kutoa huduma tu", Na inaonekana lengo lako la awali kuleta uzi huu halikuwa kuifanya serikali ijufunze kutoka Rwanda namna ya kuboresha huduma za Afya, lilikuwa lingine kabisa.Si tunaongelea kutoa huduma za afya wewe unaongelea mambo ya mbuga ?
Are we serious? Hizo ni za damu wewe unaleta blabla kama tuna uwezo tuzilete zisaidie kufikisha damu na dawa mapema kwenye zahanati za local areas ambazo ni nyingi Tanzania
Ni kweli kabisa Mkuu Tanzania tuna shida kubwa sana katika huduma za Afya, na hili suala la dawa na vifaa tiba bado ni mada kubwa inayoendelea hapa nchini. Hivyo siyo kwamba wote tunaponda, mleta uzi ndiye kawasilisha vibayaTanzania kuna maeneo mengi hayafikiki kirahisi na huduma za afya bado ni mbovu na serikali haijafanya jitihada kama hii ya Rwanda, nashangaa watu wanaponda as if sisi hatuzihitaji.
Acha utoto wewe uwe unasoma comment za wenzio kama ukashindwa unapita kimya kimya sio lazima uchangie kila kitu ...Wewe ndiye unaleta blabla, awali ulikuwa hujasema hizo ndege ni kwa ajili ya kazi gani, kuna mtu kakuuliza hizo ndege ni kwa ajili ya kazi gani umejibu "ni kwa ajili ya kutoa huduma tu", Na inaonekana lengo lako la awali kuleta uzi huu halikuwa kuifanya serikali ijufunze kutoka Rwanda namna ya kuboresha huduma za Afya, lilikuwa lingine kabisa.
Hata hivyo, kwani hizo zilipo katika Hifadhi yetu siyo za kutoa huduma? Tatizo lenu mnawasilisha mambo yenu hapa kisiasa.
Sa ndo wazee wa jenosaidi watatumia kuwapigia unteramwe???....LOL ngoja waje akina Koba murutongore na mzee mzima mzee wa kutema sumu mchambawima1
Hv mkuu una nini weyee...!!??alisema atamvizia kwenye kona amzabe vibao
Hata ni sijielewi, nashangaa tu watu wanasema hawanielewi, na mimi naona wao ndio hawaeleweki kabisaaaaaaaa sijui wakoje?Hv mkuu una nini weyee...!!??
Nimecheka mpaka basi,daaah watu bhana