mchambawima1
JF-Expert Member
- Oct 16, 2014
- 2,487
- 738
dollar bilion 2.4 ni pesa ndogo sana,kwa nchi,sio ajabu
tatizo lenu mnapenda kudandia mgari kwa mbele! cha kwanza kabisa ulitakiwa kujiuliza hapa kote tumefikaje? tupe mda mdogo sana tutakalisha 100%dollar bilion 2.4 ni pesa ndogo sana,kwa nchi,sio ajabu
Nchi pia ni ndogo ki Jiographia
hatA New york ni ndogo ila bajeti yake zaidi ya billion 90 $
Rwanda will finance only 66%? on such a small country size of a district? Big deal, Tanzania will finance 91.6%!
hahaha, hizo hela ukikusanya utajiri wa Mengi na Rostam, hao wawili tu wataizidi bajeti nzima ya rwanda. hahaha.dollar bilion 2.4 ni pesa ndogo sana,kwa nchi,sio ajabu
Zero facts and may be you talking about interahamwe budget to fund mapanga na magobore..and you are NOT Tanzanian.Rwanda will finance only 66%? on such a small country size of a district? Big deal, Tanzania will finance 91.6%!
dollar bilion 2.4 ni pesa ndogo sana,kwa nchi,sio ajabu
hiyo ndiyo rwanda bhana. tanzania yenyewe hali ipoje? mlio huko hebu mtujuze.
Usiwasikilize wapiga debe hao.
Budget ya Tanzania inajitegemea kwa 70% na iko funded kwa 30%.
Budget ya Rwanda inajitegemea kwa 66% na iko funded kwa 34%.
Sasa hapo nani ni afadhari?
Ndugu mambo yameshakuwa magum bajeti ya nch pesa yakununulia mboga!!tatizo lenu mnapenda kudandia mgari kwa mbele! cha kwanza kabisa ulitakiwa kujiuliza hapa kote tumefikaje? tupe mda mdogo sana tutakalisha 100%
Wewe habari gani hiyo ya kipuzi, rwanda bajeti ya kununua mboga hiyoUsiwasikilize wapiga debe hao.Budget ya Tanzania inajitegemea kwa 70% na iko funded kwa 30%.Budget ya Rwanda inajitegemea kwa 66% na iko funded kwa 34%.Sasa hapo nani ni afadhari?
Usiwasikilize wapiga debe hao.
Budget ya Tanzania inajitegemea kwa 70% na iko funded kwa 30%.
Budget ya Rwanda inajitegemea kwa 66% na iko funded kwa 34%.
Sasa hapo nani ni afadhari?
dollar bilion 2.4 ni pesa ndogo sana,kwa nchi,sio ajabu
Zero facts and may be you talking about interahamwe budget to fund mapanga na magobore..and you are NOT Tanzanian.
Kwahiyo tumewazidi 4% tu?sioni sababu ya kujivunia hapo ikiwa tuna rasilimali nyingi mno kuliko Rwanda. Tuna madini mengi ya kila aina,tuna vivutio vingi mno vya utalii,tumepakana na bahari,tuna ardhi ya kutosha yenye rutuba na sasa hivi tumegundua hifadhi za gesi na mafuta.Kwa utajiri huu tulio nao wa ralisimali hatukupaswa kuwa na bajeti inayojitegemea ya 70%,We can do better than that. Wewe unaonaje hapo?