Rwanda, the new China for manufacturing?

CNN'S Eleni Giokos visits one of Rwanda's manufacturing businesses and talks to former British Prime Minister Tony Blair about trade in Africa.
Source: CNN

Rwanda, the new China for manufacturing? - CNN Video

Mambo kama haya ni vigumu kupata wachangiaji humu kwenye forum ya great thinkers. Wengi wanapenda topic za ngono, migomo, siasa, n.k.

Lakini kwa kweli nchi yetu ina fursa kubwa ya kuwa ni nchi ya viwanda. Tumechelewa mno. Bado tunaleta mitumba mpaka ya sidiria na chupi. Kuna ugumu gani kushona shati au suruali mpaka tuagize vyote kutoka nje?

Kwa sasa China hawawezi kuwa ndiyo kiwanda cha dunia kwani gharama za mishahara, n.k. zinazidi kupanda. Ni wakati muafaka kwa nchi za kiafrika kuwa ndiyo kiwanda cha dunia.
 
Nchi za afrika ni ngumu kufikia malengo hayo kwakuwa viongozi wetu hawana vision hawajaweka hata strategy moja ya kurealize hizo dreams.

Mfano Tanzania; umeme ni shida, elimu yetu ni kichekesho, miundombinu ni kimeo, hata basic needs kama nguo, madawa tunaagiza, mfumo wa kifedha ni kandamizi. Unategemea kuna cha maana tunaweza kufanya kupokea hivyo viwanda?

Mfano tu, wanashindwa kufufa General Tyre wakati wanaweza kutoa mabilion kwa ajili ya Mwenge.

Mkapa alikuwa busy kuua viwanda. What else?
 
sure. tunaenda tu ili siku zipite. hatuna malengo wala hatuko results oriented .
 
Tuache utani Rwanda ina manufacture bidhaa gani make sijawahi ona made in Rwanda hata sikumoja
 
Magufuli tunyooshe watanzania, nchi ilipotea, ilikuwa inatumbukia kwenye shimo lenye kiza kinene. Naamini baada ya miaka mitano tutaanza kuelewa na kufaidi matunda ya "hapa kazi tu". Rwanda wamepata kiongozi mwenye vision na utashi wa kuiletea maendeleo nchi yake. Tanzania pia tunashukuru mwenyezi Mungu ametupatia kiongozi mwenye dira na uthubutu. Tumwombe Mungu amlinde na kumtia nguvu mpaka kieleweke
 
This is not a time to resist against changes it is a time to accept changes and adopt towards those changes "industrialisation in Africa industrialisation in tanzania"
 
Magufuli tunyooshe watanzania, nchi ilipotea, ilikuwa inatumbukia kwenye shimo lenye kiza kinene. Naamini baada ya miaka mitano tutaanza kuelewa na kufaidi matunda ya "hapa kazi tu". Rwanda wamepata kiongozi mwenye vision na utashi wa kuiletea maendeleo nchi yake. Tanzania pia tunashukuru mwenyezi Mungu ametupatia kiongozi mwenye dira na uthubutu. Tumwombe Mungu amlinde na kumtia nguvu mpaka kieleweke
Acha masihara mkuu,Magu ni hasara ndio maana kupatikana kwake ilikua ni ajali ya kisiasa.Magu huyu ana maono na dira gani kiuchumi? Mulianza kusema mwezi sasa unatuambia miaka 5,mjaa hawezi leta maendeleo
 
Back
Top Bottom