Rwanda ruling party approves Paul Kagame third term bid

Rwanda ruling party approves Paul Kagame third term bid

jMali

Keep living in your imaginary dream.
 
Last edited by a moderator:
Huko kwenu Rwanda huwa kuna dreams ambazo sio imaginary? :becky:

kwao nani? hivi jMali baada ya ukimbizi ulifanikiwa mpaka ukapewa lile gamba la kijani? kama ni hivyo basi waliokupa uraia ndio waliokupumbaza, kwenu ni kwenu we Interahamwe hata ufanyeje, tusichotaka ni hizo sumu zako...
 
Nilisahau kuongeza:

1. Wabunge wachache waliodiriki kupinga huu usanii wa 'kuombwa' wameandamwa kiasi cha kufikia kujiuzulu, wanahojiwa hojiwa na usalama wa taifa kwa yale makosa ambayo mnyarwanda akipakaziwa huwa mwisho wake hauwi mzuri, makosa yale yale ya kina Nyamwasa... Miongoni mwao ni mbunge wa Rwanda katika bunge la Afrika mashariki Celestin Kabahizi. Huyu sasa ni mtu wa tatu.
"According to sources we cannot name, several senior officials are quietly opposed to plans to amend the Constitution to remove term limits.
" source: TheEastAfrican

Baadhi inasemekana wameshaanza kutafuta ukimbizi wa kisiasa nchi za nje:

"Kigali-Rwanda- Jean Marie Sekamana, husband to MP Connie Bwiza, who dramatically resigned from parliament last Friday citing person reasons is reportedly seeking asylum in the United States, Great Lakes Voice has reliably learnt." source: MP Bwiza’s husband allegedly seeking US asylum | The Rwandan

2. Waandishi wa habari nao wameanza kuonja joto ya jiwe. Mwenyekiti wa tume ya vyombo vya habari Fred Muvunyi kajiuzulu mwezi uliopita na ameshakimbia, hivi sasa hataki kusema yuko wapi ila anacommunicate kupitia email na simu somewhere ambapo gazeti la east african linadhani ni nchi mojawapo ya ulaya. Baada ya kujiuzulu na kusepa na kuhakikisha yuko salama huko aliko, ndio sasa anaanza kusema what really was happening kwa uwazi na ukweli.
Ni kwamba, walilazimishwa kuichafua BBC na kuifungia idhaa ya BBC Rwanda kutokana na ile ripoti yao. (https://www.jamiiforums.com/international-forum/736913-finally-bbc-speaks-the-truth-7.html). Na amesepa baada ya kutishiwa.

Mtu unaposoma haya unajiuliza hivi yule mwandishi wa Tanzania 'aliyealikwa' kwenda kuinanga BBC kule Rwanda anajisikiaje akisoma maneno ya MWENYEKITI WA WAANDISHI WA RWANDA aliyekuwa anaendesha hivyo vikao? Waandishi wa Rwanda usiwaone wanaandika misifa ya Kagame kwenye New times ukadhani wanapenda, ni kwamba they have to! Wasipofanya hivyo kazi hawana (na hawatapata sehemu yoyote ndani ya Rwanda), wakiandika ukweli wanauawa (na ukweli ukiuma huko uliko utafuatwa), past elections mwandishi alichinjwa, mwingine risasi, wengine wakawekwa ndani etc, sasa haya mapoyoyo yanalipwa vijisenti na yenyewe yanacopy paste propaganda za New times nchini kwao! what a shame!
Maneno yake exactly mwenyekiti wa tume ni haya:

"I don't understand where it got these powers," Muvunyi said. "The special commission of enquiry that the RURA set up to determine the BBC's future in Rwanda knew in advance what conclusions it wanted to reach."

After working for state-owned media and then sitting on the board of the Association of Rwandan Journalists, Muvunyi was appointed president of the RMC in September 2013. He said its room for manoeuvre was steadily reduced in the course of the past year, reflecting a government desire to move from regulation to direct control of the media.

"The RMC is supposed to be a media self-regulatory body," he said. "Its job is to ensure that journalists respect media ethics and that media freedom is respected. Unfortunately, the role that I was supposed to play was different from this mandate. The pressure became too much."

"I have the feeling that the situation has worsened even more quickly since the BBC affair. But if you look at the legal framework, there had been changes and improvements since 2011. The very creation of the RMC, a media self-regulatory body, was a step forward."


The documentary that BBC TV broadcast in October 2014 accused Paul Kagame and the Rwandan Patriotic Front of involvement in mass murder, enraging the government and part of the population. The anger was used as pretext for suspending the BBC's local Kinyarwanda radio broadcasts but, in Muvunyi's view, the sanction was misplaced.

"As far as we were concerned at the RMC, the BBC's radio programmes had nothing to do with the British TV reports broadcast from London," he said. "So we protested against the process of suspension. Some people in the government did not appreciate this, and we were subjected to threats and intimidation."


The threats continued until February, when the prime minister revived a year-old proposed regulation decree, under which many of the responsibilities of the RMC, an independent body, would be transferred to the RURA, which is supposed to regulate electricity, water, post and transport and which is directly overseen by the prime minister.

"We again protested, saying this transfer of power would not benefit Rwanda's media community and journalists," Muvunyi said. "We were accused of treason and of working for foreigners and we know full well what this kind of accusation means in our country."


Finally last month, the RMC was prevented from publishing a report on the state of the media in Rwanda that had been drafted by international experts with funding from the United Nations Development Programme (UNPD). It was blocked by the Rwanda Governance Board, an agency attached to the local government ministry, which had in turn inherited the communication ministry's responsibilities.

"We were made to understand that publishing the report would be inappropriate although there was never anything the official," Muvunyi said. "But the report was very moderate. The BBC affair was not even mentioned. I had previously tried to resign discreetly because I could no longer work, but I was told from reliable sources that I would not be allowed to step down quietly. So I left the country for my personal safety.".....

source: What lies behind the indefinite ban on the BBC - Reporters Without Borders

cc: nyumba kubwa JustDoItNow Ngongo Geza Ulole bona Kibona Ab-Titchaz INGENJA idoyo, Kishimbe wa Kishimbe @Gama JokaKuu
Snipper
Happy Feet
 
hivi hawa kenge wanawekaga vipindi vya nini sasa si wawe wanatiririka tu kama makofia m7 na mugabe tujue moja
 
Ni uhuni tu, viongozi waheshimu mihula ya kuongoza kama ilivyo katika katiba zao.

Museveni anasema ukifika pale ni ngumu kutoka, patamu sana. Anawashangaa Kikwete na Mkapa kuachia utamu kirahisi. Waafrika tuna matatizo ya akili kwa kiasi fulani
 
Halafu kuna Viongozi wenye Mtindio wa Ubongo wanaosema eti Tanzania inahitajika Kiongozi Dikteta. labda kama hawajui maana ya Dikteta
 
hivi hawa kenge wanawekaga vipindi vya nini sasa si wawe wanatiririka tu kama makofia m7 na mugabe tujue moja
Wanaweka term limits kwa kuiga tu, ukifika wakati tabia zao zinafichuka. Huu upande wa kaskazini magharibi tumepakana na matatizo tu. Watu wanaokulia misituni halafu wakaingia madarakani si rahisi kuondoka kwa utaratibu. Wao wanaamini kuwa mwenye ubavu wa kusupress wengine ndiye anayetawala.
 
hivi hawa kenge wanawekaga vipindi vya nini sasa si wawe wanatiririka tu kama makofia m7 na mugabe tujue moja
Upande wa TZ is worse maana ile mijambazi ya CCM hata uishinde vipi itaiba kura na kuchakachua kila kitu ili iibuke na ushinde.
 
Upande wa TZ is worse maana ile mijambazi ya CCM hata uishinde vipi itaiba kura na kuchakachua kila kitu ili iibuke na ushinde.

Ndio maana ndugu zako wamejazana kagera wanachakachua vitambulisho sio? :A S wink:
 
Rwanda, Burundi na Uganda hakuna demokrasia yeyote...
Tuwatimie EAC...
 
Ndio maana ndugu zako wamejazana kagera wanachakachua vitambulisho sio? :A S wink:

Ndugu zangu ni legit by born hawana haja ya kuchakachua na wanalipa kodi kuliko interahamwe wote combined.
 
Back
Top Bottom